Mkuu ni ngumu kuwaweka ndani kwani wanazidi kuwa wengi mnoSina utaalam sana ila nafkiri ungewaweka wakulie ndani mpka watakapokua wakubwa kubwa zaid ya hapo
Wajengee banda ambalo litawafanya wasizurule hiyo itakusaidia. ...naamini hao kuku uliouza wamekuingizia pesa ambazo utaweza kulijenga hilo banda bila shda......mm pia nafuga walikua wanaibwa sana nimeamua kuwajengea banda kwahyo mda wote wanacheza humo kaz ni kuwanunulia chakula tu basi.......nakutakia kila la kheriWakuu, nimeanza tena ufugaji wa kuku wa kienyeji. Mara hii natumia mfumo
wa NUSU HURIA nimeanza na kuku 15 mwaka Jana mpaka sasa wako 369
Nimeuza kuku 271 kwa bei za kati ya Tsh 17,000 mpaka 23,000 namshukuru
Mungu nimeweza kupunguza ukata.
Mwakahuu kuna ttizo kubwa limejitokeza nashindwa jinsi ya kulikabili, Kuna ndege
Mdogo kwa umbo anafanana sana na njiwa, anakamata vifaranga balaa. Tena
anakamata wale vifaranga wakubwa ambao wanajitegemea. Ndani ya wiki mbili
hizi amekamata vifaranga 18.
Sijajua jinsi ya kumdhibiti yaani huyu mshenzi ananipa hasira si mchezo.
mimi nilikuwa na changamoto ya kuibiwa kuku mama watoto akaenda kwa mtaalam mwizi alipatikana kesho yake baada ya kuiba jogoo kubwa nakulila na mkewe. Jamaa alijileta mwenyewe akiwa anaumwa tumbo balaa na mke wake huku jogoo akiwika mfululizo tumboni alitaja mwenyewe kila alichoiba kwangu na kwa majirani. Alitozwa faini ya ng'ombe sita kama fidia kwangu na majirani ng'ombe moja wakachinja nyama. Tangu siku hiyo mambo swali kabisa , mwaka huu hata shamba la mahindi sikuweka mlinzi. Kumbe duniani kuna ulinzi asilia sikuwa naamini.Wajengee banda ambalo litawafanya wasizurule hiyo itakusaidia. ...naamini hao kuku uliouza wamekuingizia pesa ambazo utaweza kulijenga hilo banda bila shda......mm pia nafuga walikua wanaibwa sana nimeamua kuwajengea banda kwahyo mda wote wanacheza humo kaz ni kuwanunulia chakula tu basi.......nakutakia kila la kheri
Aseee hongera kiongozi ......hivi kuku wako wameshawai kutokwa na vidonda vya usoni vile? Na ulitumia dawa gan maana naona wangu wanaanza kuzinguamimi nilikuwa na changamoto ya kuibiwa kuku mama watoto akaenda kwa mtaalam mwizi alipatikana kesho yake baada ya kuiba jogoo kubwa nakulila na mkewe. Jamaa alijileta mwenyewe akiwa anaumwa tumbo balaa na mke wake huku jogoo akiwika mfululizo tumboni alitaja mwenyewe kila alichoiba kwangu na kwa majirani. Alitozwa faini ya ng'ombe sita kama fidia kwangu na majirani ng'ombe moja wakachinja nyama. Tangu siku hiyo mambo swali kabisa , mwaka huu hata shamba la mahindi sikuweka mlinzi. Kumbe duniani kuna ulinzi asilia sikuwa naamini.
Kipanga huyo ni hatari sanaWakuu, nimeanza tena ufugaji wa kuku wa kienyeji. Mara hii natumia mfumo
wa NUSU HURIA nimeanza na kuku 15 mwaka Jana mpaka sasa wako 369
Nimeuza kuku 271 kwa bei za kati ya Tsh 17,000 mpaka 23,000 namshukuru
Mungu nimeweza kupunguza ukata.
Mwakahuu kuna ttizo kubwa limejitokeza nashindwa jinsi ya kulikabili, Kuna ndege
Mdogo kwa umbo anafanana sana na njiwa, anakamata vifaranga balaa. Tena
anakamata wale vifaranga wakubwa ambao wanajitegemea. Ndani ya wiki mbili
hizi amekamata vifaranga 18.
Sijajua jinsi ya kumdhibiti yaani huyu mshenzi ananipa hasira si mchezo.
vidonda huo ni ugonjwa unaitwa ndui na una chanjo yake unatakiwa kuwachanja hao kuku kabla hawaugua na wakiugua tumia iodine kuwapaka baada ya kuwasafisha vidonda, kwa sasa kuna dawa ya tiba pia hebu muone mtaalam alie karibu nawe. Kwa upande wa kuku chanjo ni muhimu sana na pia usikose kufanya kazi kwa karibu na wataalam wa mifugo.Aseee hongera kiongozi ......hivi kuku wako wameshawai kutokwa na vidonda vya usoni vile? Na ulitumia dawa gan maana naona wangu wanaanza kuzingua
Anaitwa kipanga kakaHuyo anaitwa Kipanga au Mwewe kumdhibiti ni Kazi kwani huwa ana spidi kubwa kuliko ya Ndege wa Kawaida ana spidi ya Ndege za kivita zile ambazo hazina Rubani Cha msingi ni Kuwafugia Bandani tuu.
Ni kipanga kakaHuyo anaitwa Kipanga au Mwewe kumdhibiti ni Kazi kwani huwa ana spidi kubwa kuliko ya Ndege wa Kawaida ana spidi ya Ndege za kivita zile ambazo hazina Rubani Cha msingi ni Kuwafugia Bandani tuu.
Wapatie chonjo zote kama chanjo ya kideli(new castle disease), fowl pox( nduli),Ngumboro pamoja na dawa minyoo na kuweka safi mazingira ya bandaMimi nafuga ila changamoto ni vifo nipe njia unayotumia hadi kufikisha idadi hiyo
Asante kwa ushauri hii iodine mpk niende maduka ya mifugo au hata duka la dawa za kawaida naweza patavidonda huo ni ugonjwa unaitwa ndui na una chanjo yake unatakiwa kuwachanja hao kuku kabla hawaugua na wakiugua tumia iodine kuwapaka baada ya kuwasafisha vidonda, kwa sasa kuna dawa ya tiba pia hebu muone mtaalam alie karibu nawe. Kwa upande wa kuku chanjo ni muhimu sana na pia usikose kufanya kazi kwa karibu na wataalam wa mifugo.
Huyo anaitwa Kipanga au Mwewe kumdhibiti ni Kazi kwani huwa ana spidi kubwa kuliko ya Ndege wa Kawaida ana spidi ya Ndege za kivita zile ambazo hazina Rubani Cha msingi ni Kuwafugia Bandani tuu.
Easy Sana Tatizo la Kuku wa Kienyeji dawa Zake ni Bei Rahisi Sana Kuna Dawa Mbili tuu za Kuku wa Kienyeji na Watoto hufa kwa tumbo au Minyoo Dalili zake unakuta mabawa kama kimevaa Koti halafu kinalia sana.Mimi nafuga ila changamoto ni vifo nipe njia unayotumia hadi kufikisha idadi hiyo
mkuu kweli huu ni ubunifu ni kweli dawa yao ni kuwafanya wawe tofauti sisi kwetu huwa tunawapaka rangi . anunue rangi awadecorate wote