mtugani wa wapi huyo
JF-Expert Member
- Dec 5, 2012
- 1,239
- 1,475
Mkuu lete mrejesho sasa maana upo kimyaaa!!!
Mkuu natamani ungekuwa jirani ili uone yani ktk vifaranga 28 vilipona viwili tu
Wengine Bado ninewapa mpaka nineamua kustop
Haya nikanunua iodine nikawa nawapaka ila bado Mkuu