mtugani wa wapi huyo
JF-Expert Member
- Dec 5, 2012
- 1,239
- 1,475
Mkuu lete mrejesho sasa maana upo kimyaaa!!!
Dah pole xana.uckate tamaa maana mm pen v ndo dawa nayotumia kwa ugonjwa wa ndui.Mkuu natamani ungekuwa jirani ili uone yani ktk vifaranga 28 vilipona viwili tu
Wengine Bado ninewapa mpaka nineamua kustop
Haya nikanunua iodine nikawa nawapaka ila bado Mkuu
Dah pole xana.uckate tamaa maana mm pen v ndo dawa nayotumia kwa ugonjwa wa ndui.Mkuu natamani ungekuwa jirani ili uone yani ktk vifaranga 28 vilipona viwili tu
Wengine Bado ninewapa mpaka nineamua kustop
Haya nikanunua iodine nikawa nawapaka ila bado Mkuu
Dah pole xana.uckate tamaa maana mm pen v ndo dawa nayotumia kwa ugonjwa wa ndui.
Leo ni ck ya ngapi mkuu??Kwa hio niedelee kuwapa tu
Leo ni ck ya ngapi mkuu??
OK, hao we waache usiwape hio wataendelea vema tu.mana vidonda vinaonekana vimeanza kukauka kwa hio kuwa na subra mkuu watapona hao.Niliwapa ka siku tano mfululizo kisha nikastop
Hapana mkuu sina nia ya kua mchoyo. Najua challenge ni nyingi katika manejimenti ya mifugo na watu wanafuga mifugo tofauti (challenge hazifanani). Nikaona itakua vyema kama mtu atakuja na changamoto yake PM na nitamsaidia tatizo lake kiurahisi.Kwanini usitoe somo Hapa watu wengine wakapata kujua na kuelewa?
Huko pm unataka kufanyanuchoyo SAS mkuu,weka mambo hadharani ufaidishe wengi na uelimishe wengi
nimeipenda hii. iko ki-sayansi zaidimimi huyu mshenzi(kipanga) nilifanikiwa kumuangusha na kumuua papo hapo. Nilitafuta wavu wa kamba ya manira, kisha nikatengeneza kitu mfano wa kizimba cha goli, baadhi ya vifaranga hua nawaweka pale wacheze na kula msosi. Ule wavu kwakua una nyuzi nyembamba sana kiasi cha yule bwana akiwa angani anapiga doria yeye hawezi kuuona ila anaona vifaranga tu. Basi alikuja speed kama ndege vita, kilicho mpata anakijua mwenyewe lakini mimi nilimkuta pale pembeni ya mtego akiwa hoi taaban.
Mdau. Weka humu la kuku. Ya wadudu wengine bakia nayo mwenyewe.Hapana mkuu sina nia ya kua mchoyo. Najua challenge ni nyingi katika manejimenti ya mifugo na watu wanafuga mifugo tofauti (challenge hazifanani). Nikaona itakua vyema kama mtu atakuja na changamoto yake PM na nitamsaidia tatizo lake kiurahisi.
Kuna dawa inaitwa akheri powder ni nzuri Sana ukitumia usisahau kuleta mrejeshoJamani mm viroboto vinatesa sana vifaranga nifanyeje coz banda nalifanyia usafi kila siku lakini viroboro vinaingia na kunasa kwenye macho na chini ya mdomo wa kifaranga. Plz msaada naomba
Kuna dawa za kuwakung'utia ambazo huuwa kabisa hao wadudu zinauzwa kwenye maduka ya mifugo mimi wa kwangu huwa wanatumia mchanga kuoga na hujiondoa kabisa hivyo vidudu.Jamani mm viroboto vinatesa sana vifaranga nifanyeje coz banda nalifanyia usafi kila siku lakini viroboro vinaingia na kunasa kwenye macho na chini ya mdomo wa kifaranga. Plz msaada naomba
Kama wana Mafia na vidonda n banda halipitishi hewa ya kutosha.Aseee hongera kiongozi ......hivi kuku wako wameshawai kutokwa na vidonda vya usoni vile? Na ulitumia dawa gan maana naona wangu wanaanza kuzingua
Wakiwa wadogo tengeneza kakibanda kadogo weka taa ya joto,tumia chakula aina ya starter na vitality kwenye Maji mpaka Waote manyoya bcMimi nafuga ila changamoto ni vifo nipe njia unayotumia hadi kufikisha idadi hiyo
Fowl pox ugonjwa unaitwa hivo! Parua vidonda wapake iodine tincture utakuwa umeponyesha!Aseee hongera kiongozi ......hivi kuku wako wameshawai kutokwa na vidonda vya usoni vile? Na ulitumia dawa gan maana naona wangu wanaanza kuzingua
Kuna dawa inaitwa SEVIN (Dudu - dust) ni mzuri kuliko Akheri powderJamani mm viroboto vinatesa sana vifaranga nifanyeje coz banda nalifanyia usafi kila siku lakini viroboro vinaingia na kunasa kwenye macho na chini ya mdomo wa kifaranga. Plz msaada naomba