NITATOA USHUHUDA
JF-Expert Member
- Jul 6, 2017
- 757
- 728
WAZO ZURI SANA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante sana mkuu kwa mchango wakoKila mradi una changamoto zake, lakini pamoja na hayo kuku wanalipa sana na mimi ndio mradi nitakao kuja kufanya hapo baadae nikiwa nausimamia mwenyewe.
Ngoja tusubirie mawazo ya wengine nipate maujuzi.
Nafikiri mambo mengi yako hapaMkuu ufugaji wa kuku ni safi sana cha muhimu hapo kwanza inabidi uandae banda na mazingira mazuri ambayo utafugia hao kuku kwasababu ndio unaanza hebu pitia hapa kwanza usome mifumo ya ufugaji wa kuku ukisha soma utatueleza ni mfumo upi unapenda kufuga tukupe maelezo zaidi[emoji116]MIFUMO MBALIMBALI YA UFUGAJI WA KUKU WA KIENYEJI. - Ufugaji Bora Wa Kisasa
-Ndumilakuwili-
Mkuu naomba nitumie kwa pm.Weka mail nikutumie pdf kitabu cha ufugaji kuku wa kienyeji.....ni kikubwa kama page 120
kwa mujibu wa vipimo vya mkemia mkuu
naomba unitumie kitabu ama document yoyote ya uandaaji wa chakula cha kuku kama unachoWeka mail nikutumie pdf kitabu cha ufugaji kuku wa kienyeji.....ni kikubwa kama page 120
kwa mujibu wa vipimo vya mkemia mkuu
Safi sana mkuu ...nishakifungua tayari hapa nakisomaNaomba mrejesho kama mumeweza kukifungua hicho kitabu kwa pdf.
kwa mujibu wa vipimo vya mkemia mkuu