Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

Napenda zaidi kufuga wa kienyeji
e6f4eabb433482f806c139aed3016051.jpg

74029b6d82cd53edfe40d9c4ca6d0ec7.jpg
Ndo unao wafuga? mbona pucha za google?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MAMBO MUHIMU

1. Unataka kufuga kwa ajili ya nini hasa?
- nyama?
-Mayai?
- Mapambo?
-Kuuza mayai ya mbegu?

2. Unataka kufugia wapi yaani eneo lako ni wapi hasa?
3. Umelenga aina ipi ya wateja? hili litaendana na jibu la kwanza.

3. Umefanya utafiti ukaona kuna uhitaji? utafiti hasa na sio ule wa kuona au kusikia au kusimuliwa.

4.Mtaji wako ni kiasi gani hasa?

5. Unapanga kusimamia mwenyewe au unapanga kuweka kijana na wewe uendeshe kutoka ofisini kwa simu?

Jibu hapo kwanza then tutaendelea


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari jamani.
Naomba tupeane mbinu na taratibu za kulea vifaranga vya kuku kuanzia siku ya kwanza vinapototolewa ili viweze kukua vizuri na kupunguza vifo na magonjwa yote nyemelezi.

Karibuni
 
Habari jamani.
Naomba tupeane mbinu na taratibu za kulea vifaranga vya kuku kuanzia siku ya kwanza vinapototolewa ili viweze kukua vizuri na kupunguza vifo na magonjwa yote nyemelezi.

Karibuni

1. siku ya 1 tengeza brooder kulingana na idadi ya vifaranga. Hakikisha pana joto la kutosha 37 nyuzi joto. Vyombo vya chakula na maji viwe safi. chakula starter kutoka vyanzo bora. Wape glucose na antibiotic kuzuia infection.
3. Wape chanjo, NCD, rudia baada ya siku 28.
4. wape chanjo ya gumboro siku ya 14.
5. Hakikisha joto muda wote upo, vyombo visafishwe kila siku. Wewe uwe na utaratibu wa kuchovya disinfectant miguu na miko kila unapoingia na kutoka bandani.

Mengine watakuja kukujuza. Anza na hivyo.
 
Back
Top Bottom