Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

Nauza Bata mzinga wakubwa na wadogo wenye uzito mpaka kg 15 na bata bukini pia ninao na Kanga,bei ni nzuri karibuni:kwa mawasiliano piga namba 0757-662401.

mkuu, bata bukini (geese) unauza bei gani?, nimeanza kufuga ninao 6 nataka niongeze

je unatotolesha kwa incubator au bukini wenyewe wanatamia

ngoja niku pm
 
mkuu

ahsante sana kwa hili bandiko, hapa umemaliza kila kitu, kwa mfugaji yeyote yule lazima afanikiwe

huu ndiyo moyo thabiti wa kuwawezesha wajasiriamali wa ufugaji kwa elimu thabiti

hongera
 
mkuu

ahsante sana kwa hili bandiko, hapa umemaliza kila kitu, kwa mfugaji yeyote yule lazima afanikiwe

huu ndiyo moyo thabiti wa kuwawezesha wajasiriamali wa ufugaji kwa elimu thabiti

hongera

Ndugu zangu, siku zote mtu thabiti hula vitu thabiti na watu thabiti, asanteni sana pia
 
Nazalisha machotara nawanataga wakiwa na miezi minne nanusu tu pia hutaga mpk mayai 45 kabla ya kutamia kwamawasiliano zaidi 0755387681
 
nashukuru sana mkuu kwa wema wako. Naomba niusave huu ujumbe for future reference
 
Gazeti waweza kuja na idadi fulani ya kuku kutoka kwenye kila kundi ambao yafa kuanza nao katika ukubwa fulani wa banda ili kupima uwezo kiuzalishaji na faida kwa mfugaji?
 
Mimi nakuahidi ukikuta basi usilipe na nitakulipa mimi, nafanya biashara ya uhakika na siwezi haribu kazi yangu so karibu na uone mwenyewe. ni kuku wa kienyeji na waulize wateja wangu watakujulisha.Julieth we njoo tu uonje mayai matamu
 
Kuna mayai ya kienyeji ya kuchakachua yapo sana unapasua unakuta kiini cheupe kama la kisasa.

Mimi nakuahidi ukikuta basi usilipe na nitakulipa mimi, nafanya biashara ya uhakika na siwezi haribu kazi yangu so karibu na uone mwenyewe. ni kuku wa kienyeji na waulize wateja wangu watakujulisha.Julieth we njoo tu uonje mayai matamu

kiini kuwa cheupe au njano ni namna kuku anavyolishwa.

yai linakuwa la njano ikiwa kuku anakula sana majani, kama hapati majani ya kutosha yai linakuwa jeupe sio kuchakachua.
Mpo hapo wapendwa?
 
Back
Top Bottom