Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

asante, sasa gazeti hizi breed tunaweza zipataje bila safari ndeefu za tabora , pemba, morogoro, etc ?
 
Yanafaa kutotolewa? Kuna mtu anatafuta mayai ya kuku wa kienyeji kwa ajili ya kutotoa kutumia incubator.

Kama unataka yakutotolewa wasiliana nami ili nikusaidie jinsi yakuyapata na yanafaa kutotolewa
 
Kuna mayai ya kienyeji ya kuchakachua yapo sana unapasua unakuta kiini cheupe kama la kisasa.




hata ya kidhungu ukiwapa hao kuku watagaji majani kiini cha yai kinakua njanooo kama ya kienyeji!
 
Mimi nakuahidi ukikuta basi usilipe na nitakulipa mimi, nafanya biashara ya uhakika na siwezi haribu kazi yangu so karibu na uone mwenyewe. ni kuku wa kienyeji na waulize wateja wangu watakujulisha.Julieth we njoo tu uonje mayai matamu

wateja wako tutawajuaje tukawaulize? ofisi zako zipo wapi? au ndo wewe unauzia hapo karibu na kanisa la kakobe?. Mia
 
wateja wako tutawajuaje tukawaulize? ofisi zako zipo wapi? au ndo wewe unauzia hapo karibu na kanisa la kakobe?. Mia
Figga wateja wangu wengi niwa maofisini, mimi napatikana mwenge maeneo ya Migombani na nambayangu iko apo juu waweza kunibeep tu kama unaitaji nitakupa maelekezo. Mimi siuzii karibu na kwa kakobe
 
Nazalisha pia machotara wakubwa sana hutaga mpaka mayai 45 kabla ya kutamia pia huvumilia sana magonjwa nahuanza kutaga wakiwa na miezi minne na nusu tu! Vifaranga wake wanapatikana karibuni 0755-387681
 
Wateja wa maofisini ina maana unapeleka mwenyewe au wanatokea maofisini kama unadeliver ntakupigia cm
 
Nimejaribu kupiga gharama za kutunza kuku kwa miezi sita zimekuwa juu; sijui mtoa mada unashauri nini kuhusu hilo?
Tutor ni kweli kabisa gharama ipo juu. kwa mfano mimi nina kuku 1000 ambapo 600 wapo wiki ya 18 na 400 wiki ya 10 na so far nimetumia milioni 11. hawa wakubwa ambao ni 600 waaanza kutaga (naona wataanza wiki ijayo). kama anayetaka breakdown aniambie nitamtumia. ni kweli unahitaji mtaji.
kama mtaji mdogo anza na kuku wa nyama.
 
Una uwezo wa tray ngapi kwa siku kaka? Naweza kukuunganisha katika mtandao ukauza sehemu moja trays zako zote.
 
mi nadhani ntakuwa mteja wako soon lakin naskia mayai ya kienyeji yanaharibika mapema, hayakai muda mrefu kama ya kuku hawa wa kisiasa
 
mi nadhani ntakuwa mteja wako soon lakin naskia mayai ya kienyeji yanaharibika mapema, hayakai muda mrefu kama ya kuku hawa wa kisiasa,ni kweli?
 
Nimekuwa Busy na kazi nyingi, lakini kuna hoja ambazo inabidi nirudi kuzijibu sina jinsi
kwani inaweza kuwa waliopost wanaanza kukata tamaa au pengine kutokana na mimi
kutoweka hapa jukwaani mbinu zote za jinsi ya kuuendesha mradi huu.

Kama mmefuatilia vizuri post zangu kuna sehemu nimesema mradi huu ni nzuri zaidi
kwa mtu aliyeko kijijini\, naomba niongezee tu kuwa kwa mwenye shamba pia mradi huu
ni nzuri sana. Ninajua wapi mnakosea katika hesabu zenu lakini sitafika huko. Ukianza tu
huo mradi utagundua nini ulikuwa unakosea katika hizo hesabu.

Naomba nieleze kitu kimoja kikubwa ambacho nilikifanya nilipoanza kufuga. Bila shaka
itakuwa ni faida kubwa kwa watu wenye nia ya dhati. Nilianza kulima mtama, karanga,
mahindi na mpunga. Nilipata eneo kubwa la kupanda kiasi kikubwa cha vitu nilivyoeleza
kwa sababu ni kijijini ambako kuna maeneo ya kutosha. Wakati vile vitu vinakaribia kukomaa
ndo nikaanza kufuga kuku. Wakati vyakula vimekomaa nilikuwa na chakula cha kutosha kwa
ajili ya mifugo yangu hiyo. Samahani nafikiri nimejitahidi kutoa ufafanuzi kwani nashindwa kuendelea kuna kazi naifanya.
 
Next time summarize your post. Its too long especially for mobile users.
 
mkuu Gazeti unafugia wapi hao kuku.
nimependa approach yako ya kulima mazao fulani fulani kwanza
 
Back
Top Bottom