Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapendwa mayai yapo ni fresh karibuni sana
Yanafaa kutotolewa? Kuna mtu anatafuta mayai ya kuku wa kienyeji kwa ajili ya kutotoa kutumia incubator.
Kuna mayai ya kienyeji ya kuchakachua yapo sana unapasua unakuta kiini cheupe kama la kisasa.
Mimi nakuahidi ukikuta basi usilipe na nitakulipa mimi, nafanya biashara ya uhakika na siwezi haribu kazi yangu so karibu na uone mwenyewe. ni kuku wa kienyeji na waulize wateja wangu watakujulisha.Julieth we njoo tu uonje mayai matamu
Figga wateja wangu wengi niwa maofisini, mimi napatikana mwenge maeneo ya Migombani na nambayangu iko apo juu waweza kunibeep tu kama unaitaji nitakupa maelekezo. Mimi siuzii karibu na kwa kakobewateja wako tutawajuaje tukawaulize? ofisi zako zipo wapi? au ndo wewe unauzia hapo karibu na kanisa la kakobe?. Mia
Tutor ni kweli kabisa gharama ipo juu. kwa mfano mimi nina kuku 1000 ambapo 600 wapo wiki ya 18 na 400 wiki ya 10 na so far nimetumia milioni 11. hawa wakubwa ambao ni 600 waaanza kutaga (naona wataanza wiki ijayo). kama anayetaka breakdown aniambie nitamtumia. ni kweli unahitaji mtaji.Nimejaribu kupiga gharama za kutunza kuku kwa miezi sita zimekuwa juu; sijui mtoa mada unashauri nini kuhusu hilo?
Kuna mayai ya kienyeji ya kuchakachua yapo sana unapasua unakuta kiini cheupe kama la kisasa.
Duh yani we sijui unafikiria nini! Hapo ilipo tu bado inahitaji ufafanuzi nikisummarize siNext time summarize your post. Its too long especially for mobile users.