bepari la kichaga
JF-Expert Member
- Dec 21, 2014
- 528
- 516
Sure sureMkuu kuongea na kuandika hivi ni rahisi sana, ika ukingia field utashangaa sana!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sure sureMkuu kuongea na kuandika hivi ni rahisi sana, ika ukingia field utashangaa sana!
Hao ni kuku wa nyama, wa mayai au wa kienyeji?siku ya kwanza mpaka ya saba unawapa OTC 20%, SIKU YA 14 NEW CASTLE,SIKU YA 21 GUMBORO,SIKU YA 35 NDUI,UTARATIBU HUU UTAKUWA UNAURUDIA KILA BAADA YA MIEZI 3 KASORO CHANJO YA NDUI TU.
Hii hutokea mara nyingi lakiniili kuzui huo muda wa kutamani kulia ni vema kufuata utaratibu wa kuwapa chanjo kuku ...ukiwapa kuku chanjo husika ,kwa muda husika wala hutajuta kuwafugaNi kweli pesa tunapata ila wana changamoto hao viumbe kuna muda utatamani kulia
Duh.mkuu hii point yako nimeikataa.kuna daktari wa mifugo aliniambia kuku hawafai kupewa vyakula vyenye mafut yoyote.hata viporo vya vyakula vilivopikwa,ni hatari kwa uhai wa kuku.Ugonjwa no 1
Tafuta mafuta ya ng,ombe mabichi
Uwe unawapaka Na kuwalisha hao vifaranga
Sawa mkuuUnaweza kufanikiwa iwapo vikishatotolewa vikusanye vyote, lets say hao 100 wametoto wote vifaranga 7 (minimun number) utakuwa na vifaranga 700.
Watunze kwenye chumba chenye joto la wastani ili wasipate baridi, wanunulie chakula (Chic starter ) 50kgs, unaweza ongeza soya iliyosagwa 5kgs hivi changanya fresh.
Nunua OTC plus na any multivitamins (dawa za packet) hizi ni za unga, zichanganye pamoja kisha uwe unawapa vifaranga hvi kwenye maji ya kunywa.
Wiki ya kwanza - chanja Gombolo
Wiki ya Pili chanja Newcastle.
Wiki ya tatu rudia Gombolo
Wiki ya nne rudia Newcastle
Wiki ya sita chanja Ndui (Pox) (Muhimu sana )
Wakifika wiki ya 9, watoe bandani waanze kutafuta msosi wao wenyewe, unaweza kuwa unawaongezea bumba ili wakue vizuri zaidi.
Muda huo mama zao watakuwa wameshatotoa tena, kwa hiyo unaweza kuwa na kuku zaidi ya 6,000 at the end of 2018.
Kama utauza kuku kwa bei ya kutupwa ya 15,000 basi ndugu utakuwa na 15,000 times 6,000 = 90m.
Kazi njema, ila siyo kazi ndogo kufikia hapo, unahitaji kufanya kazi kubwa mno hasa kwenye utunzaji na ulishaji.
Kuhusu ndui kuna mtu anajiita Tamutamusana alijitangaza kuwa na dawa ya ndui. Mm nilinunua nikawapaka vifaranga wagonjwa wote walipona. Ugonjwa wa ndui ndio kikwazo kikubwa sana kwa ufugaji wa kukuMi nasubiri kwa hamu sana mkuu
Kweli kabisa mkuuKuhusu ndui kuja mtu anajiita Tamutamusana alijitangaza kuwa na dawa ya ndui. Mm nilinunua nikawapaka vifaranga wagonjwa wote walipona. Ugonjwa wa ndui ndio kikwazo kikubwa sana kwa ufugaji wa kuku
Nitapate Hawa kuku yaani naomba contact plsHABARI,
"Abel edward otieno,
Kweli kuroiler wako vizuri sana na unaweza kuwatumia kwa nyama au kwa mayai wanakua haraka ndani ya miezi mitatu na nusu unaweza kuwauza kwa nyama na minne wanaanza kutaga mayai.Wanaweza kujitaftia chakula wenyewe kama kuku wa kienyeji ila ni vema kwa mijini ukawalisha chakula wana wastani wa kutaga mpaka mayai 150 kwa mwaka kila kuku ikiwa na maana ndani ya siku mbili anataga yai moja,kwa hiyo ukiwanao kuku 1000 tegemea kuwa na tray 12-15 kila siku na garama zao za ulishaji sio kubwa kama wale kuku wa mayai pure nikiwa na maana hawaitaji chakula maalaumu ila wanakula sana.
Na kama unataka kununu hao hakikisha unakwenda kwenye watotoleshaji maalumu la sivyo unaweza ukauziwa chotora wa kuroiler ambao kwa mayai hawataweza kutaga sana .Pia unaweza kuwa na kuku wa kienyeji kama 30 ukawaweke mayai yenye mbegu ya kuroiler ukapata vifaranga wake mayai yapo kwa watotoleshaji pia.Ila kama unataka pia kuwa na mayai ya kuroiler kuyaandaa mwenyewe tafuta kuku kuroiler kama 10 na majogoo yake 3 ukiwaweka pamoja peke yao hapo utakuwa na mayai bora yenye mbegu ya kuroiler na unaweza kuwawekea kuku wa kienyeji wakalalia au ukapeleka kwa watotoleshaji mayai wakakutotoleshea kwa bei nzuri.Ila mayai ya kuroiler ya mbegu hayatakiwi kukaa sana hasa zaidi ya siku kumi lazima yaanze kulaliwa au kuwekwa wenye mashine ya kutotoleshea sana yakae wiki moja tu.
LUMUMBA
Wakienyeji, chotara au wakizungu?hawa kuku wanalipa hatari ,tatizo watu wanakwama mitaji tuu