Mkuu mnapatikana wapi? Mimi nipo mwanzaOne day Chic sisi tutawapa malex, wewe utawapa siku ya 7, 14, 21 na 28 - Tutakuelekeza. Kuhusu bei we tutafute tutaona namna ya kusaidiana hasa kama unachukua wengi.
Kaka nipo Dar; lakini umbali si tatizo; ufugaji wa tija unaweza kufanyika tu - 0682 231053 tuwasiliane kwa ushauru zaidiMkuu mnapatikana wapi? Mimi nipo mwanza
Arovera sawa na kitunguu swaumu.Nimenunua maTetea wawili kwa ajili ya kuanza kufunga kuku wa kiwnyeji n nina jogoo sasa hao kuku wametaga kisha wakatotoa tatizo linaanza hapa wanasumbuliwa na mafua na ugonjwa wa macho sasa kuwabunuria madawa nako sina mkwanja nawaza hakuna tiba za kienyeji anaejua mfamo mimea kama alovela nilisikia ni dawa ila sijui ya nini ....
msaada kwa anawfahamu.
Sent using Jamii Forums mobile app
oohhh unavichanganya ama una wapa kila kimoja kimojaAlove
Arovera sawa na kitunguu swaumu.
Naomba nitumie mkuu, niko ktk maandalizi piaDuh! nimeipenda sana hii mzee. hata mimi nimevutiwa nayo please kama inawezekano send it even to me. Maana " We normally learn good from the ways of people than from people themselves". Please do it maana nipo katika mchakato huo huo, japo siko Dar.
Hata Mimi nilianza na Laki moja tu kama wewe lakini huwez amini kwa sasa Nina kuku wa kutosha na bado nishakula faida ya kutosha cha kufanya Fanya hivi kama una banda tayari nunua kuku 10 kisha wakitaga kusanya mayai uweze kukuzia kipato au kama hauna banda tumia elfu 40 kutengeneza banda afu nunua kuku 6 au 8 kwa iyo elf 60 ilobakia kisha wakitaga vya kutosha wape mayai kumi kumi kuku zako utajikuta katika hao kuku 8 washaaongezeka kufikia kuku 80 na ukiwapa tena mayai hata tano tano utajikuta kwa hao kuku 80 washafika 400 je ukianza ata kuwauza nusu yao kwa elf nane nane si tayari una 1,600,000 maamuzi yako tu ndugu kama vipi nicheki wasapNilikua Nataka Kufuga Kuku Wa Kienyeji, Nina Mtaji wa Laki Moja...Sijui Wapi Pa Kuanzia..Naomba Ushauri How To Manage Ili Niweze Kufanikiwa
Tafuta na mwarobaini mkuuNimenunua maTetea wawili kwa ajili ya kuanza kufunga kuku wa kiwnyeji n nina jogoo sasa hao kuku wametaga kisha wakatotoa tatizo linaanza hapa wanasumbuliwa na mafua na ugonjwa wa macho sasa kuwabunuria madawa nako sina mkwanja nawaza hakuna tiba za kienyeji anaejua mfamo mimea kama alovela nilisikia ni dawa ila sijui ya nini ....
msaada kwa anawfahamu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Doxlini kama sikoseiKuna dawa ya dukani
Jina nimesahau ila ni antibiotic ya kijani hivi jamii ya Amoxilin
Ni dawa nzuri
Usinunue bundle leo nunua nusu dozi
[emoji252] [emoji479]
Unapatikana wapi MkuuHata Mimi nilianza na Laki moja tu kama wewe lakini huwez amini kwa sasa Nina kuku wa kutosha na bado nishakula faida ya kutosha cha kufanya Fanya hivi kama una banda tayari nunua kuku 10 kisha wakitaga kusanya mayai uweze kukuzia kipato au kama hauna banda tumia elfu 40 kutengeneza banda afu nunua kuku 6 au 8 kwa iyo elf 60 ilobakia kisha wakitaga vya kutosha wape mayai kumi kumi kuku zako utajikuta katika hao kuku 8 washaaongezeka kufikia kuku 80 na ukiwapa tena mayai hata tano tano utajikuta kwa hao kuku 80 washafika 400 je ukianza ata kuwauza nusu yao kwa elf nane nane si tayari una 1,600,000 maamuzi yako tu ndugu kama vipi nicheki wasap
+255769010712
+255655010712
Lucas Kitashu
Sent using Jamii Forums mobile app
exactlyDoxlini kama sikosei
Pia tetrasaklini inatibu
Banda unalo?Nilikua Nataka Kufuga Kuku Wa Kienyeji, Nina Mtaji wa Laki Moja...Sijui Wapi Pa Kuanzia..Naomba Ushauri How To Manage Ili Niweze Kufanikiwa
Banda unalo?
Mfanyakazi wa mabanda ya kuku anaweza kweli kuwa JF embu kuwa serious kidogoWakuu natafuta kijana wakiume umri 18-30 . Mzoefu wa ufugaji wa kuku wakienyeji na kisasa. Aww anawajua kuroila na layers vizuri. Nitaka apige kazi mshahara mzuri tu . Sehem kigamboni Dar. Ataishi hapo hapo kuna chumba na choo,maji na umeme pia.
Siweki mawasiliano yangu. Kama upo serious na unaijua kazi ni PM tuyajenge maana kijana nilionae sasaivi hanaujuzi.
Asanteni.