Hata Mimi nilianza na Laki moja tu kama wewe lakini huwez amini kwa sasa Nina kuku wa kutosha na bado nishakula faida ya kutosha cha kufanya Fanya hivi kama una banda tayari nunua kuku 10 kisha wakitaga kusanya mayai uweze kukuzia kipato au kama hauna banda tumia elfu 40 kutengeneza banda afu nunua kuku 6 au 8 kwa iyo elf 60 ilobakia kisha wakitaga vya kutosha wape mayai kumi kumi kuku zako utajikuta katika hao kuku 8 washaaongezeka kufikia kuku 80 na ukiwapa tena mayai hata tano tano utajikuta kwa hao kuku 80 washafika 400 je ukianza ata kuwauza nusu yao kwa elf nane nane si tayari una 1,600,000 maamuzi yako tu ndugu kama vipi nicheki wasap
+255769010712
+255655010712
Lucas Kitashu
Sent using
Jamii Forums mobile app