Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

One day Chic sisi tutawapa malex, wewe utawapa siku ya 7, 14, 21 na 28 - Tutakuelekeza. Kuhusu bei we tutafute tutaona namna ya kusaidiana hasa kama unachukua wengi.
Mkuu mnapatikana wapi? Mimi nipo mwanza
 
Nimenunua maTetea wawili kwa ajili ya kuanza kufunga kuku wa kiwnyeji n nina jogoo sasa hao kuku wametaga kisha wakatotoa tatizo linaanza hapa wanasumbuliwa na mafua na ugonjwa wa macho sasa kuwabunuria madawa nako sina mkwanja nawaza hakuna tiba za kienyeji anaejua mfamo mimea kama alovela nilisikia ni dawa ila sijui ya nini ....

msaada kwa anawfahamu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alove

Arovera sawa na kitunguu swaumu.
 
Niwe wazi, ufugaji wa kuku kwa dunia ya sasa yahitaji darasa kidogo, yahitaji uelewa wa aina za magonjwa, tiba na chanjo za kuku kuanzia hatua za awali hadi kuku wakubwa. Bila kujua dalili na aina za magonjwa na dalili zake, bila kujua tiba itakua ngumu ni sawa na kupambana na adui usiyemjua. Fanya juu chini upate angalau kitabu ama jarida la ufugaji wa kuku ili upate kufahamu ABC za ufugaji wa kuku.
Penye nia pana njia...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna dawa ya dukani
Jina nimesahau ila ni antibiotic ya kijani hivi jamii ya Amoxilin
Ni dawa nzuri
Usinunue bundle leo nunua nusu dozi

[emoji252] [emoji479]
 
Duh! nimeipenda sana hii mzee. hata mimi nimevutiwa nayo please kama inawezekano send it even to me. Maana " We normally learn good from the ways of people than from people themselves". Please do it maana nipo katika mchakato huo huo, japo siko Dar.
Naomba nitumie mkuu, niko ktk maandalizi pia
 
Nilikua Nataka Kufuga Kuku Wa Kienyeji, Nina Mtaji wa Laki Moja...Sijui Wapi Pa Kuanzia..Naomba Ushauri How To Manage Ili Niweze Kufanikiwa
Hata Mimi nilianza na Laki moja tu kama wewe lakini huwez amini kwa sasa Nina kuku wa kutosha na bado nishakula faida ya kutosha cha kufanya Fanya hivi kama una banda tayari nunua kuku 10 kisha wakitaga kusanya mayai uweze kukuzia kipato au kama hauna banda tumia elfu 40 kutengeneza banda afu nunua kuku 6 au 8 kwa iyo elf 60 ilobakia kisha wakitaga vya kutosha wape mayai kumi kumi kuku zako utajikuta katika hao kuku 8 washaaongezeka kufikia kuku 80 na ukiwapa tena mayai hata tano tano utajikuta kwa hao kuku 80 washafika 400 je ukianza ata kuwauza nusu yao kwa elf nane nane si tayari una 1,600,000 maamuzi yako tu ndugu kama vipi nicheki wasap
+255769010712
+255655010712
Lucas Kitashu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimenunua maTetea wawili kwa ajili ya kuanza kufunga kuku wa kiwnyeji n nina jogoo sasa hao kuku wametaga kisha wakatotoa tatizo linaanza hapa wanasumbuliwa na mafua na ugonjwa wa macho sasa kuwabunuria madawa nako sina mkwanja nawaza hakuna tiba za kienyeji anaejua mfamo mimea kama alovela nilisikia ni dawa ila sijui ya nini ....

msaada kwa anawfahamu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tafuta na mwarobaini mkuu
Pia kama unafahamu msesewe
Pia kuna jani fulani hivi uchagani wanaita ihombo nalo ni dawa
Pia wachemshie majani ya mwembe yaweke yapoe kisha wape wanywe mkuu
 
Hata Mimi nilianza na Laki moja tu kama wewe lakini huwez amini kwa sasa Nina kuku wa kutosha na bado nishakula faida ya kutosha cha kufanya Fanya hivi kama una banda tayari nunua kuku 10 kisha wakitaga kusanya mayai uweze kukuzia kipato au kama hauna banda tumia elfu 40 kutengeneza banda afu nunua kuku 6 au 8 kwa iyo elf 60 ilobakia kisha wakitaga vya kutosha wape mayai kumi kumi kuku zako utajikuta katika hao kuku 8 washaaongezeka kufikia kuku 80 na ukiwapa tena mayai hata tano tano utajikuta kwa hao kuku 80 washafika 400 je ukianza ata kuwauza nusu yao kwa elf nane nane si tayari una 1,600,000 maamuzi yako tu ndugu kama vipi nicheki wasap
+255769010712
+255655010712
Lucas Kitashu

Sent using Jamii Forums mobile app
Unapatikana wapi Mkuu
 
Wakuu natafuta kijana wakiume umri 18-30 . Mzoefu wa ufugaji wa kuku wakienyeji na kisasa. Aww anawajua kuroila na layers vizuri. Nitaka apige kazi mshahara mzuri tu . Sehem kigamboni Dar. Ataishi hapo hapo kuna chumba na choo,maji na umeme pia.

Siweki mawasiliano yangu. Kama upo serious na unaijua kazi ni PM tuyajenge maana kijana nilionae sasaivi hanaujuzi.
Asanteni.
 
Mfanyakazi wa mabanda ya kuku anaweza kweli kuwa JF embu kuwa serious kidogo
 
Back
Top Bottom