BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,767
- 23,198
Nauza Bata mzinga wakubwa na wadogo wenye uzito mpaka kg 15 na bata bukini pia ninao na Kanga,bei ni nzuri karibuni:kwa mawasiliano piga namba 0757-662401.
mkuu
ahsante sana kwa hili bandiko, hapa umemaliza kila kitu, kwa mfugaji yeyote yule lazima afanikiwe
huu ndiyo moyo thabiti wa kuwawezesha wajasiriamali wa ufugaji kwa elimu thabiti
hongera
njooo mimi ninao arushaNenda JKT Ruvu kuna kuku muruwa sana
Wapendwa mayai yapo ni fresh karibuni sana
Kuna mayai ya kienyeji ya kuchakachua yapo sana unapasua unakuta kiini cheupe kama la kisasa.
Mimi nakuahidi ukikuta basi usilipe na nitakulipa mimi, nafanya biashara ya uhakika na siwezi haribu kazi yangu so karibu na uone mwenyewe. ni kuku wa kienyeji na waulize wateja wangu watakujulisha.Julieth we njoo tu uonje mayai matamu