Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

mkuu help me with this thing you call database. please!
 
Kama vile rahisi
 
Ipo ktk akiliyangu kufanya biasharahii ilasijui natakiwa walau niwena kiasigani chakuanzia naitaji ushauli wako mkuu niko mbion
 
Tunauza Vifaranga wa Kuroiler wa wiki moja kwa Tshs. 1,200 wenye chanjo za awali za Marek na Newcastle. Pia tunauza Vifaranga wa Kuroiler wa mwezi mmoja kwa Tshs. 4,000 wenye chanjo za awali za awali za mwezi mmoja za Mareks, Newcastle na Gomboro.

Tunapatikana Kimara Kona ila Tunaweza kukuletea Mahali popote Dar es Salaam.
Kwa Mawasiliano tupigie 0768570655.

Karibu Sana Tufuge Kimkakati.
 
nina kuku wakienyeji wa asili kabisa wanakaribia 20 nawauza.karibuni location tabata mawenzi no 0715715385
 
AMEN!
 
Yeye katoa the positive side of it! Sasa the negative side ISIKUZUIE KUINGIA MZIGONI. Na zaidi ya yote, ukifikiria KUSHINDWA, MAGONJWA, SIJUI NINI HUWEZI KUFANYA LOLOTE. Yule bwana aliyegundua hii "bulb" iwakayo hapo kwenu sasa hivi, alijaribu mara 1999 bila kufanikiwa. Ile ya 2000 ndiyo ikaleta hiyo bulb; lakini yeye hasemi alishindwa mara 1999, anasema alifanikiwa kidogo mara 1999!. Hiyo ndiyo spirit ya wajasiriamali! Usiogope failures, see them as opportunities ili usonge mbele hadi mafanikio AU SIYO!?
 
Nitaweka picha hapa baadae, majuzi tu hapa nimenyoosha mikono kuhusu biashara ya ufugaji wa kuku wa kienyeji! Nilinunua majike ambayo tayari yanataga. nikajengea mabanda safi, hadi mlinzi nikaweka, wakataga mayai yanawateja sana, mengine wakaatamishia nilikuwa kwenye mpango wa kununua incubator, magonjwa nkayadhibiti hakuna vifo cha kuku vya kutisha!

Wamefika kuku 200+ ikaja changamoto ya CHAKULA, kuku wanakula hadi mshahara wangu mapato kiduchuuu! Kwa ufupi nimekula HASARA, sijuhi haya mabanda yangu mazuri nifugie nini! Kuku wa kienyeji sio wa kuchezea, naomba wafugaji wazoefu waniambie wanawalisha nini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…