Je unawapatiaje joto? Inabidi uweke taa za umeme ama vipi?
Kubota pole na mikaa, hawa kienyeji wako pure wanachukua muda gani hadi kuuzwa au kutaga. Hawa hybrid miezi sita kutaga ila majogoo wanaendelea kukua. Na wanakoma kutaga umri gani?
Ndugu zangu mimi ninapata tabu sana ninapotaka kuwatengenezea kuku wangu funza au mchwa kwani bado sijaelewa vizuri namna ya kuwatengeneza hawa wadudu.naomba mwenye ujuzi huo anipige msasa kidogo.
Mchwa nilielekezwa nichanganye samadi ya ng'ombe na majani makavu halafu ni nyunyuzie maji kidogo.mchanganyiko huo niufunikize chini ila aliyenipa somo Hilo hakumalizia nikae muda gani mchwa watakuwa tayari.nawaogopa hawa wadudu kwani wanaweza geukia Banda langu likaisha lote.funza ndo bado kabisa.naomba nielekezwe vzr ili niifanyie kazi Hiyo shuleMama Timmy umeuliza kitu muhimu sana, protein ni kitu muhimu sana kwa hii mifugo! Wengine huwa wanatumia damu, jamani mnaojua hii kitu msaada!
Ndugu zangu mimi ninapata tabu sana ninapotaka kuwatengenezea kuku wangu funza au mchwa kwani bado sijaelewa vizuri namna ya kuwatengeneza hawa wadudu.naomba mwenye ujuzi huo anipige msasa kidogo.
Wao!nashukuru sana ndugu yangu Dafo.nilikuwa natamani sana kujua kuwatengeneza hawa funza!nitaleta mrejesho wake hapa hapa jamvini!Mama timmy, pole na kupata tabu ya kutengeneza funza.mimi nilikuwa natumia mbolea ile ile ya kuku na pumba za mahindi.kuna dumu la lita 20 nimelikata juu kote uwa naanza kuweka bolea kama nusu na juu na weka pumba nusu ya kiwango cha mbolea nilichoweka.Baada ya hapo namwangia maji hadi kunalowana kabisa, nafanya zoezi la kumwagia maji kwa siku 2 halafu siku ya 3 simwagii then siku ya 4 unakuta funza wameshapatikana wa kutosha naewapa kuku.Njia nyingine ambayo ina gharama kidogo ni ya kutumia pumba na utumbo au nyama zile ambazo hazifai kuliwa.unachanganya hizo nyama au utumbo na pumba halafu unamwagia maji kiasi hadi vilowane kwa siku 3 hadi 5.Karibu.
View attachment 84075
Mkuu Tunashukuru sana kwa Semina Yako tumejadiliana na Mama Yoyoo tukaona ni bora tuboreshe Banda letu la Kuku tumefanya la Kisasa kama unavyoliona
View attachment 84075
Mkuu Tunashukuru sana kwa Semina Yako tumejadiliana na Mama Yoyoo tukaona ni bora tuboreshe Banda letu la Kuku tumefanya la Kisasa kama unavyoliona
Hongera kwa kutumia rasilimali ulizo nazo!ubunifu mkubwa!View attachment 84075
Mkuu Tunashukuru sana kwa Semina Yako tumejadiliana na Mama Yoyoo tukaona ni bora tuboreshe Banda letu la Kuku tumefanya la Kisasa kama unavyoliona
View attachment 84075
Mkuu Tunashukuru sana kwa Semina Yako tumejadiliana na Mama Yoyoo tukaona ni bora tuboreshe Banda letu la Kuku tumefanya la Kisasa kama unavyoliona
nasubiri muendelezo mkuu Kubota, hii wikiend ulisema utarudi kuendelea pale ulipoishia