Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake


Mkuu naomba unitumie na mm
 

Asante sana mkuu, ninapoishi umeme haukatiki ovyo, hata ukikatika ni nusu saa tu unarudi.
Je waweza nisaidia wapi nitapata mayai ya kuku wa kienyeji watakaoweza atamia, maana wengi wanatala nipa mayai ila kuku hao hawawezi atamia
 
Asante sana mkuu, ninapoishi umeme haukatiki ovyo, hata ukikatika ni nusu saa tu unarudi.
Je waweza nisaidia wapi nitapata mayai ya kuku wa kienyeji watakaoweza atamia, maana wengi wanatala nipa mayai ila kuku hao hawawezi atamia

kama umeme ni wa uhakika basi haina shida sana ni kuhakikisha joto linakuwa halipungui sana katika incubator.
Sehemu ya kupata mayai ya kienyeji sijui hasa wapi kwa uhakika. Kwani wewe unapata wapi?
 
mkuu mimi natafuta incubators za kisasa vipi umepata wapi ya kwako? unaweza nielekeza ama kunipa adress zao!
 
KWA MAHITAJI YA VITABU VYA KISWAHILI KUHUSU NAMNA BORA YA UFUGAJI KUKU WA KISASA,KIENYEJI(ASILI) NA KILIMO BORA,TUNA VITABU VIZURI

1 Chanjo na tiba ya majonjwa ya kuku
2 Hifadhi ya mayai kwa muda mrefu
3 Kulea vifaranga katika hatua zote muhimu
4 Kutengeneza vyakula vya kuku
5 Ufugaji bora rahisi wa kuku wa kienyeji
6 Uuzaji bora mazao ya kuku wa asili
7 Maandalizi ya banda la kufugia kuku kitaalamu

kwa anayehitaji tuwasiliane kwa namba 0754228411 nb vitabu vipo katika mfumo wa soft copy!!
 

Unaviuza au unatoa bure?
 
Kwa wanaohitaji vitabu vya namna bora ya ufugaji wa kuku wa kisasa, kienyeji na kilimo ,vipo katika soft copy tuwasiliane kwa 0754228411,vinahusu mada zifuatazo
1 jinsi ya kujenga banda
2 kulea vifaranga katika hatua zote muhimu
3 chakula cha kuku
4 kutunza mazao ya kuku kwa mda mrefu
magonjwa ya kuku na dalili zake nk
 

Weka bei mkuu kama ni msaada basi nitumie kwenye email yangu: nyati04@yahoo.com
 
baadhi ya vifaranga wananyonyoka manyoya,ni ugonjwa gani huo na tiba yake ni ipi?natanguliza shukrani.
 
Hebu cheki hiyo PDF nafikiri itafunguka bila matatizo.

Mkuu, habari!

asante kwa pdf file yenye mafunzo, ila mbona detail za kwanza hapo zinaonekana kuwa expenses ni kubwa kuliko revenue?
inakuwaje hapo mkuu? exp=400k lakini net income ikawa 100k?
 
Kubota. Vifaranga vya mwezi mmoja chotara wa israel mitetea 45 na majogoo 5 wanaweza kula vyakula gani mchanganyiko gani na kg ngapi kwa siku moja. Asante.
 
nimevutiwa sana na somo ila tatizo mi nkifuga kuku wanakufa sana
 
Changamoto kubwa kwa upande wa ufugaji wa Kuku wa kienyeji ni jinsi ya kupambana na magonjwa hasa kwa vifanga. Inabidi ujifunze na upate ushauri wa kitaalamu katika eneo hili.
 
Jamani nisaidieni kupata mfugaji anaeuza mayai ya kuku wa kienyeji..ninahitaji mayai urgently...tray20 tu kila wiki..pls yeyote anaeweza kuniunganisha na mtu huyo...
 
nami bila kinyongo nitazifuata mbinu zako hizi,ubarikiwe.
nalog off
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…