Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

Mkuu Elnino aliweka hiyo database ya excel pitia uzi wote. Pia kuna uzi ulianzoishwa na Amani Ng'oma kaelezea cost zote so pitia humo utapata kitu
Hata mie nimevutiwa naomba unitumie database.
 

Naomba unitumie database yako ili nami nipate mchakato mzima.

Unaweza ukanitumia vilevile kupitia email buchuluisack@gmail.com
 
Nitapata wapi hawa ndege..
 

Attachments

  • 1420308367786.jpg
    10.4 KB · Views: 738
Nimesikitika kukosa aina ya V na VI ya kuku, VP unaweza ukatujumuishia? Pia nakushukuru kwa kazi nzuri dhidi yetu!
 

Gazati....sijui nikushukuruje kwa hii mada yako mkuu!hili wazo la kufuga kuku Wa kienyeji limekuwa kichwanj kwangu kwa muda mrefu sasa....ila kuanza ndo imekuwa shida!last week nimemaliza kusoma kitabu cha dare to win..na nilochogundua ni kwamba mi ni muoga kuanza kufanya na kutimiza ndoto zangu...now Leo nlivyosoma hii article yako hadi mwili umenisisimka as to why do I late my fear control me??!!oh my God...I need to do something and am surely gonna do it!!thanks mkuu and after a year panapo uzima ntakuja na mrejesho Wa Mada hii!ubarikiwe mkaka!..
 
Ndugu yangu ni Kama umetoa maneno kichwani kwangu ukayaandika hapa....sijui kwanini watu tunaenda kuanza na negativity in everything!mwisho Wa siku watu wanaishia kulalamika maisha magumu!sasa we fanyia kazi hili wazo afu ufanikiwe uone watakavyoponda..."hawez kufanikiwa kwa biashara ya kuku tu yule,kuna mengine anayafanya nyuma ya pazia" na Kama akiwa mdada utasikia tu wanasema kahongwa Mara anahudumiwa na jibaba Fulani...jaman sometimes watanzania tunaboa sana uwiiiiiiiiiii!
 
ahsanteni sana wanajf mimi ninahitaji kuingia katika biashara hii ya ufugaji wa kuku hasa hawa wa kienyeji nimekamilisha kila litu ikiwemo kutengeneza banda na utaalam wa kisasa ila kwa bahati sijapata pa kununua hao kuku wa kienyeji wenye uhakika kwa hapa DAR ES SALAAM.
naomba kwa yeyote wenye kujua wapi wanapatikana kuku hawa ani PM tuweze kuwasiliana
NATANGULIZA SHUKRANI ZANGU ZA DHATI KWENU WOTE.😛oa
 

Nimefurahi kupata darasa la ufugaji
 
Kuku wanazidi ongezeka Kuku Wangu wa 5 wametotoa 7 saba rahaaaaaaa
 
Jamani vifaranga wangu wamevimba vichwa na macho,chanjo zote nimewapa,itakua ugonjwa gani na dawa ipi nzuri?
 
Pole sana, je ni uvimbe kama ndui au macho tu na kichwa? Wana umri gani? Vitamin unawapa? Ndui inakuwa vidonda vya brown hadi kwenye upanga. Ila ukosefu vitamin macho na vichwa huvimba.
Jamani vifaranga wangu wamevimba vichwa na macho,chanjo zote nimewapa,itakua ugonjwa gani na dawa ipi nzuri?
 
Nakushauri baki hapo hapo kwa kuku wa kienyeji, hao wa kizungu wana changamoto kubwa ya magonjwa, na hawana soko sana mayai na nyama zao hazina ladha, kwa ushauri.

1. jenga banda lenye sehemu tatu, ya kutagia, kulala, na stoo ndogo ya chakula.
2. anza na makoo10 jogoo mmoja tu.
3.sijajua upo mazingira gani unayoishi, hapa nilitaka nikushauri chakula cha kuku na muundo wa ufugaji.
4.zijue tabia za hao kuku, hasa ktk uleaji vifaranga, uatamiaji, na utagaji.
5.jua magonjwa yale common na tiba zake, kama vile minyoo, mdondo/kideri, macho, coccdiosis, zijue dawa za kienyeji na za kizungu.
6.ujue kuchagua mayai ya kuatamia, mayai mengine hayatoi vifaranga ni vizuri ukafanya lishe kwa familia kuliko kumwachia kuku aatamie.
7.jifunze utundu wa kumuangulisha koo mmoja mayai 40, ukijua hapo ndani ya miezi sita banda lako uliloanza kufuga kuku10 litakuwa halitoshi na utalazimika kuongeza banda lingine. maana 40x 10 = 400.
NB: yako mambo mengi sana ya kuku, na ukiyazingatia hutataka mfugo mwingine wowote, kama una tatizo lolote ktk kuku hasa hawa wa kienyeji, ni PM ushauri wangu nautoa bure, kwa watu wote wanaotaka au wanaofuga kuku.


Ahsante.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…