Javis Elias Balilemwa
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 489
- 67
Eti wadau yai likichafuliwa na kinyesi halifai tena kutotolewa?na je likisafishwa kwa maji litafaa?
inategemea na idadi ya Kuku unaotaga kuanza kufuga, kwa mfano kwa hali ya sasa ilivyo Kuku 400 broiler inahitaji mtaji wa sh 1,600,000/= vifaranga
400×1300=520000
chakula magunia 25×46000
madawa=50000/=
nakutakia kila la heri kijana mwenzangu
Malila ....samahani naomba kujua hapa mtaani kuna dogo naye anataka kuanza uFugaji wa kuku wa nyama ila mtaji wake ni mdogo so anataka kuanza na kuku 100 na kukuza hadi kiwango cha juu, swali je hii anaweza kwa hio idadi kukuza mtaji wake?????
mimi sina sana utAalamu wa kufuga kuku wa nyama, ntashukuru msaada wako