Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

Not easy da way u think pana challeng jipange.
Nimefta uzi huu toka umeanza na nilifanikiwa kufikisha kuku 167
Changamoto zipo nying sana. Kuna mda niliibiwa kuku 80 nikabakiza 87 yote makinda.
Kuna kipind nawarise hao waliobak upepo wa ugonjwa ukapita wkafa 28
Mpaka hamu inaisha za hiv nayatazma tu mabanda nawaza kufuga kanga tu na sungura.
 
Usikate tamaaa mkuu
You cant learn without challenge
 
Not easy da way u think pana challeng jipange.
Nimefta uzi huu toka umeanza na nilifanikiwa kufikisha kuku 167
Changamoto zipo nying sana. Kuna mda niliibiwa kuku 80 nikabakiza 87 yote makinda.
Kuna kipind nawarise hao waliobak upepo wa ugonjwa ukapita wkafa 28
Mpaka hamu inaisha za hiv nayatazma tu mabanda nawaza kufuga kanga tu na sungura.
hilo la kuku kupotea ndio lilinifanya niachane na hii ishu kwa kweli. ndani ya miezi 4 nilikuwa nimeshafikisha kuku 42, kwa mitetea 4 ambapo hapo watatu walikuwa wanataga mmoja analalia,kila nikiwakopokonya vifaranga baada ya wiki 2 wanaanza kutaga , lakini sasa wamebaki 20 tu nimeona napoteza muda tu.
 
Habari wanajamvi baada ya kujibana nimefanikiwa kujenga banda lenye ukubwa wa mita 6 kwa 5 ila sijajua nianze na kuku wa aina gani kati ya chotara na kuku wa nyama naomba kwa anaefahamu anifahamishe
 
Anza na kuku wa nyama ambao kila baada ya wiki sita utakuwa unawauza.

Sijajua umejibana kwa muda gani ila kuku wa mayai hadi waanze kutaga ni miezi sita. Na kwakipindi hicho wanatakiwa wale vizuri
 
Asante kwa ushauri ila shida yangu ni kufuga chotara au wa nyama sio wa mayai wa kisasa
 
Sasa unaposema chotara au wa nyama hapo ndipo unapo changanya watu.
Kuna kuku wa kisasa
Kuku chotara na kuku wa kienyeji.

Hao kuku wanaweza kuwa wa nyama au wa mayai.
Sasa weka vizuri bango lako.
 
Kuku chotara nina maana ni cross breed ya kienyeji na wanafugwa kienyeji ila wanachelewa kutaga na wa nyama ni hao wa wiki 6-8
 
Kabla ujaanza kufuga kuku wa nyama angalia somo usije fuga ukakosa pa kuwauza ukaja laliwa bei na watu wa sokoni .

Bado ujasema unataka kufuga kiasi gani
 
Nataka kuingia kwenye ufugaji nazidi kujifunza vitu humu
 
Back
Top Bottom