Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usikate tamaaa mkuuNot easy da way u think pana challeng jipange.
Nimefta uzi huu toka umeanza na nilifanikiwa kufikisha kuku 167
Changamoto zipo nying sana. Kuna mda niliibiwa kuku 80 nikabakiza 87 yote makinda.
Kuna kipind nawarise hao waliobak upepo wa ugonjwa ukapita wkafa 28
Mpaka hamu inaisha za hiv nayatazma tu mabanda nawaza kufuga kanga tu na sungura.
hilo la kuku kupotea ndio lilinifanya niachane na hii ishu kwa kweli. ndani ya miezi 4 nilikuwa nimeshafikisha kuku 42, kwa mitetea 4 ambapo hapo watatu walikuwa wanataga mmoja analalia,kila nikiwakopokonya vifaranga baada ya wiki 2 wanaanza kutaga , lakini sasa wamebaki 20 tu nimeona napoteza muda tu.Not easy da way u think pana challeng jipange.
Nimefta uzi huu toka umeanza na nilifanikiwa kufikisha kuku 167
Changamoto zipo nying sana. Kuna mda niliibiwa kuku 80 nikabakiza 87 yote makinda.
Kuna kipind nawarise hao waliobak upepo wa ugonjwa ukapita wkafa 28
Mpaka hamu inaisha za hiv nayatazma tu mabanda nawaza kufuga kanga tu na sungura.
AsanteAsante sana!
Asante kwa ushauri ila shida yangu ni kufuga chotara au wa nyama sio wa mayai wa kisasaAnza na kuku wa nyama ambao kila baada ya wiki sita utakuwa unawauza.
Sijajua umejibana kwa muda gani ila kuku wa mayai hadi waanze kutaga ni miezi sita. Na kwakipindi hicho wanatakiwa wale vizuri
Sasa unaposema chotara au wa nyama hapo ndipo unapo changanya watu.Asante kwa ushauri ila shida yangu ni kufuga chotara au wa nyama sio wa mayai wa kisasa
Kuku chotara nina maana ni cross breed ya kienyeji na wanafugwa kienyeji ila wanachelewa kutaga na wa nyama ni hao wa wiki 6-8Sasa unaposema chotara au wa nyama hapo ndipo unapo changanya watu.
Kuna kuku wa kisasa
Kuku chotara na kuku wa kienyeji.
Hao kuku wanaweza kuwa wa nyama au wa mayai.
Sasa weka vizuri bango lako.