Karibu mimi ninao nitakupigia baadae kidogoMkuu ukipata mtu anaeuza hao kuku ni pm namb na mm coz naitaj sana pia kuku wa kufuga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karibu mimi ninao nitakupigia baadae kidogoMkuu ukipata mtu anaeuza hao kuku ni pm namb na mm coz naitaj sana pia kuku wa kufuga
Uko wapi?nina kuku nauza but nipo morogorowakuu habari zenu mie natafuta matetea wa kienyej nataka kama 10 hivi kwa yoyote muuzaji tuwasiliane 0712659807
😀😀 Dah watz tunapenda pesa za haraka ndio maana DESI hazitaisha aisee!!! Tunapenda sana njia za mkato labda akiwanywesha mbolea ya kukuzia na akawalisha amira wanaweza kukua faster!! (Ooops I am kidding)Kama unasoko la hao kuku fanya uende vijijini kusanya idadi unayotaka uuze but kufuga kuku wakienyeji uwauze kwa ajili ya nyama ndani ya wiki 6 inabidi utumie muujiza
Dar sehem gani?Mkuu tushirikiane kufuga kama upo tayari,sabu mimi sina eneo ila nina elimu na mwongozo kidogo w ufugaji hasa kuku wa kienyeji hvo ninaweza kutafuta mtaji kidogo tukafuga,nipo dar pia.
haahahahaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] kurareki waraiiWatetea wengine watakuwa wana sura na maumbo mabaya hivyo majogoo wanawapotezea na kufuata wenue sura na mvuto!
tsh ngapi kuku mmoja? Upo Morogoro sehemu gani?Uko wapi?nina kuku nauza but nipo morogoro
aliyeko mwanza natafuta vifaranga wa bata mzinga na vile vile vifaranga wa kanga, tafadhali anipm
Sina utaalam sana ila nafkiri ungewaweka wakulie ndani mpka watakapokua wakubwa kubwa zaid ya hapoWakuu, nimeanza tena ufugaji wa kuku wa kienyeji. Mara hii natumia mfumo
wa NUSU HURIA nimeanza na kuku 15 mwaka Jana mpaka sasa wako 369
Nimeuza kuku 271 kwa bei za kati ya Tsh 17,000 mpaka 23,000 namshukuru
Mungu nimeweza kupunguza ukata.
Mwakahuu kuna ttizo kubwa limejitokeza nashindwa jinsi ya kulikabili, Kuna ndege
Mdogo kwa umbo anafanana sana na njiwa, anakamata vifaranga balaa. Tena
anakamata wale vifaranga wakubwa ambao wanajitegemea. Ndani ya wiki mbili
hizi amekamata vifaranga 18.
Sijajua jinsi ya kumdhibiti yaani huyu mshenzi ananipa hasira si mchezo.