Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,577
Msimu Wa mdondo umeanza mtaani kuku wanapukutika tu
HV dawa yake nn?!
HV dawa yake nn?!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HV maranda ndio nn?!
Mbegu za viazi vitamu ni MARANDOMbegu za viazi vitamu
Nimeanza ufugaji wa kuku wa kienyeji, bado sija survey soko la kuku wa kienyeji likoje.
Kama kuna mtu mwenye uzoefu na hili anishauri, pros and cons etc.
By the way, nimeanza na Jogoo mmoja, ila natarajia kuongeza kuku within a week, projections ni kuwa na kuku 1,000, hapo ndio nianze kuuza, matarajio yangu ni kuuza via interent - hapa nalenga watu wa DAR, ambao wako bize, I can do delivery maofisini within city center, na baadae kuweka vituo vya kufanya pickup wakati watu wanarudi home jioni, e.g Mwenge Junction, Morocco Petrol Station, etc. Malipo via M-Pesa, SMS banking pia na mahoteli.
Sitarajii faida ya haraka, naomba ushauri kwa wale walifanya biashara hii, au wanajua mtu wa karibu aliyeifanya.
Unapofuga kuku zingatia chanjo Katika hatua zote hata kama haujaona dalili za ugonjwa wowote. Shirikiana na mabwana mifugo mkuu kwa ushauri !Msimu Wa mdondo umeanza mtaani kuku wanapukutika tu
HV dawa yake nn?!
HV maranda ndio nn?!
[emoji12] [emoji12] [emoji12]Mbegu za viazi vitamu
Hivi Dar. kuna hawa mabwana mifugo kweli!Unapofuga kuku zingatia chanjo Katika hatua zote hata kama haujaona dalili za ugonjwa wowote. Shirikiana na mabwana mifugo mkuu kwa ushauri !
Watakuwepo ukienda kwenye ofisi za serikali za wilaya au kata wapoHivi Dar. kuna hawa mabwana mifugo kweli!
0756012858Mkuu tupia namba uungwe Kwa group wasap
Nakutumia na pm
Vipi kuhusu kuroiler wako vipi kwa kutotolesha kwa kutumia incubator make nasikia hawana uwezo wa kulalia lakini nasikia wanakua na uzito mkubwa na mayai wanataga mengi naomba kujua ukweli juu ya hwa kuroiler plse