falcon mombasa
JF-Expert Member
- Mar 5, 2015
- 9,189
- 9,299
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna pesa za haraka kwenye ufugaji WA kuku WA kienyeji,,ni uongo mtupuUfugaji ya kuku wa kienyeji njooni tupeane uzoefu na ujuzi pamoja na changamoto.. Karibuni wakuu .. Wenye aidia hii tupeane namba za simu tukwamuane kiuchumi..
Dah..mnatuchanganya kwelikweli......Ufugaji ya kuku wa kienyeji njooni tupeane uzoefu na ujuzi pamoja na changamoto.. Karibuni wakuu .. Wenye aidia hii tupeane namba za simu tukwamuane kiuchumi..
Mi nasubiri kwa hamu sana mkuungoja waje
kuku wakienyeji kwaajili ya nyama.
Jari afya yako na wateja wako, kwa bei nafuu kabisa.
kuku kutoka mbeya, chimala na ubaruku., wanapatika sasa, tunapokea order ya kuanziaa kuku 10, discount ipo ukichukua kuku 20 nakuendeleaa, popote ulipo dar es salaam, utafikishiwa kuku moja kwa mojaa
tunapatikana sinza, Africasana.
kwa mawasiliano zaidi.
0654785510
au
0768254091.
gysn0911@gmail.com
ur welcome..
uko..wap![]()
single order delivery..
nipo, Dar, sinza napatikana.uko..wap
Nipo Dodoma mkuu, 07673826411.upo maeneo gani?
2.ingawa watakuja kukupa maelezo,lakini pia pitia nyuzi zilizopita utajifunza mengi.
Sawa mkuuu.... Ntafanya hvyoVifaranga Wales we we kwa kuwapa chakula chao starter na joto la kutosha badilisha majira na OSHA hayo madumu kila siku
Aina ya kuku mkuuHongera na Pole! Kwa habari ya ndui kuna chanjo ya sindano! Unatakiwa uwape kama kinga, wakiumwa basi unawapa tu glucose watakaobaki wakipona kabisa unachanja.
Mengine nitajibu baadaye kidogo kama kutakua hajaja mwingine wa kukuelezea!