Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

Mkuu umeniongezea UJANJA....Nilifuga kuku wa mayai na nyama kwa mafanikio makubwa sana.mambo niliyozingatia ni kama hayo uliyoyaeleza.pia kuna tiba mbadala nyingi nilikuwa sizijui ndo nimezijua toka kwako.MUNGU AKUONGOZE MKUU!UMETISHA.
 
Mkuu umeniongezea UJANJA....Nilifuga kuku wa mayai na nyama kwa mafanikio makubwa sana.mambo niliyozingatia ni kama hayo uliyoyaeleza.pia kuna tiba mbadala nyingi nilikuwa sizijui ndo nimezijua toka kwako.MUNGU AKUONGOZE MKUU!UMETISHA.

Mkuu lakini soko kwa ujumla lipo??Maana hivi vitu nadhani raha yake hata kama mtu anataka kuanza atleast akijua soko inakuwa powa zaidi, vipi wewe mwenzangu una soko la uwakika??
 
Kwa nyaongeza ni bora ukanza na kuku wachache ili ukasoma mazingira na kuepuka garama za pamoja then ukawa unaongezea kidogokidogo kulingana na halihalisi unavyoiona. lakini wengi wetu huwa tunapiga maesabu makubwa hapo ndipo tunapo fail kufikia malengo coz ukichemsha kidogo tu unaona hiyo plan haifai kabisa na kama unaimani ndogo unaweza sema umelogwa lakini ni kutokujiandaa tu.
 
Mkubwa!

Nimeshasemaga hapa Jf ni mwanzo mwisho.
Kila aina ya mtu yupo kwanzia kila idara na hata hakika maisha yakikushindwa ukiwa member mzuri humu jf,hakika naweza kusema una laana toka ulikotoka.

Nashukuru wataalam waliomo humu na endeleeni na huduma hii bila ya kuchoka kwn hata ninyi mtaelimishwa kwa namna moja ama nyingine humu.

Thankx Best!!
 
Hallow great thinkers.
Napenda kufanya biashara ya ufugaji wa kuku chotara, naomba kama kuna mdau ana taarifa sahihi juu ya hili.
thank you
 
Ahsantekwa uchambuzi mzuri, lakini angalizo. Feeds and feeding costs account more than 60% of production cost. Sijaona kama umezielezea vizuri na ndio zinazowashinda wafugaji wengi
 
Asante sana snochet:its like u'v been sent frm above to re-direct me...Ubarikiwe sana
 
Elimu nzuri..Ila kama mtu anakosa jiko la mkaa n.k,unaweza kutumia dumu: chemsha maji halafu chukua dumu la lita 20 na yaweke humo halafu funga kabisa liweke juu ya tofari ili vifaranga wasiungue,kwa kawaida dumu litatoa joto ambalo linawafaa sana vifaranga

Wakisogea karibu sana na dumu ujue joto halitoshi kwa hiyo maji hayakuchemshwa vizuri na wakikaa mbali sana na dumu ujue joto ni kali,ongeza tofali likae juu kidogo.

La msingi kuhusu banda ni vizuri kama una eneo la kutosha fuga nusu huria: jenga banda ambalo kuku watalala usiku halafu mchana wanakaa ndani ya uzio na hiyo itapunguza gharama za usafi na pia kuku watapata mazoezi.Zingatia pia kwamba hawa ni kuku wa kienyeji kwa hiyo unaweza kuwaachia wakatoka nje kabisa ya uzio ili wapate chakula kama wadudu wanaoruka na wanaotambaa.

Nitarudi baadae.........
 
Soko ni la kutafuta. Fuga halafu utafute soko maana lipo.
Mkuu lakini soko kwa ujumla lipo??Maana hivi vitu nadhani raha yake hata kama mtu anataka kuanza atleast akijua soko inakuwa powa zaidi, vipi wewe mwenzangu una soko la uwakika??
 
Soko ni la kutafuta. Fuga halafu utafute soko maana lipo.


kwani ni kipi kinaanza kati ya soko na production?
- Hapa ndo ninapo waaminia wabongo, tunaanza kuzalisha bila kujua tunamuuzia nani mwisho wa siku unaletewa bei na mnunuzi na inabidi ukubali make no way out,

- Hapa arusha kuna mama mmoja alianza kufuga kuku wake wengi sana wanyama sasa mziki uko kwenue soko, hajui pa kuuza, make kila mtu hahitaji,

- tukiendelea na hii staili ya kuzalisha bila kujua nani atanunua itakula kwetu
 
mkuu ubarikiwe sana nina wazo la kufuga Kuku kwenye plot yangu
 
Back
Top Bottom