Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nadhani taarifa za soko ni muhimu kamaulivyosema. Lakini kwa kuku soko sio la kuumiza sana kichwa.kwani ni kipi kinaanza kati ya soko na production?
- Hapa ndo ninapo waaminia wabongo, tunaanza kuzalisha bila kujua tunamuuzia nani mwisho wa siku unaletewa bei na mnunuzi na inabidi ukubali make no way out,
- Hapa arusha kuna mama mmoja alianza kufuga kuku wake wengi sana wanyama sasa mziki uko kwenue soko, hajui pa kuuza, make kila mtu hahitaji,
- tukiendelea na hii staili ya kuzalisha bila kujua nani atanunua itakula kwetu
Kwa tathimini ya kimaradi , hauonyeshi uhalisia wa kiutekelezaji endelevu, sababu anazotoa ni ni za kununua kuku tu, je kuchanja kuku, kutibu,chakula na virutubisho, gharama za masoko, kiutendanji katika kipindi hicho, na pia kumbuka hawa ni wanyama utekelezaji wake si wakinadharia kama mdau alivyoeleza.Swali ingekuwa rahisi naman hiyo vijijini wa, watu si matajiri?
haya ndiyo maneno sasa, ngoja tuingie mzigoni. Theory ya Rich daddy and poor daddy iendelee kufanya kazi vizuri ili tusiwe watumwa wa pesa bali pesa zitutumikie sisi.
formula hii ni ya chakula cha kuku wa aina ganiFORMULA 100Kgs za Chakula cha Kuku
- Mahindi yaliyoparazwa 25Kgs.
- Pumba za Mahindi 25Kgs.
- Dagaa/Uduvi 10Kgs.
- Unga wa Mifupa/Bionemeal 5Kgs.
- Chokaa/Limestone 5Kgs.
- Mashudu ya Alizeti 5kgs.
- Mashudu ya Pamba 10kgs.
- Ngando ndogondogo 5kgs.
- Machicha ya ngano/Wheat Brand 10kgs.