Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

Hongera kwa wazo zuri. Ninaye ndugu yangu anatotolesha vifaranga, pia anayo mayai ya kienyeji kwa ajili ya mbegu na kula pia.
mtafute 0712057514
 
mpigie huyu 0784 305036 au 0713 064 947 huyu ana mbegu ya Australia yale makuku makubwa na matamuuu oh!
 
Mwenye kujua namna ya kujua mayai ya kienyeji ambayo ikilaliwa na kuku baadae inakuwa fiza.

Nitajuaje kbl ya kumpa kuku kulalia?
 
kwani ni kipi kinaanza kati ya soko na production?
- Hapa ndo ninapo waaminia wabongo, tunaanza kuzalisha bila kujua tunamuuzia nani mwisho wa siku unaletewa bei na mnunuzi na inabidi ukubali make no way out,

- Hapa arusha kuna mama mmoja alianza kufuga kuku wake wengi sana wanyama sasa mziki uko kwenue soko, hajui pa kuuza, make kila mtu hahitaji,

- tukiendelea na hii staili ya kuzalisha bila kujua nani atanunua itakula kwetu
Nadhani taarifa za soko ni muhimu kamaulivyosema. Lakini kwa kuku soko sio la kuumiza sana kichwa.
 
Je inawezekana kuchukua mayai na kutotolesha kwenye mashine,mwenye utaaram atupe mchanganuo ili tuweze zalisha zaidi na kwa haraka.
 
Snochet,

Hii ni babu kubwa itabidi nikutafute aisee unisaidie kuuaga umaskini
 
Kwa tathimini ya kimaradi , hauonyeshi uhalisia wa kiutekelezaji endelevu, sababu anazotoa ni ni za kununua kuku tu, je kuchanja kuku, kutibu,chakula na virutubisho, gharama za masoko, kiutendanji katika kipindi hicho, na pia kumbuka hawa ni wanyama utekelezaji wake si wakinadharia kama mdau alivyoeleza.Swali ingekuwa rahisi naman hiyo vijijini wa, watu si matajiri?

Hebu Chunguza Hao Unaodai Hawajanufaika,kama Wanafata Njia Bora Za Ufugaj
Kumbuka MATOKEO BORA NI SABABISHO LA UWEKEZAJ WA MAANDALIZ MAZURI!
 
haya ndiyo maneno sasa, ngoja tuingie mzigoni. Theory ya Rich daddy and poor daddy iendelee kufanya kazi vizuri ili tusiwe watumwa wa pesa bali pesa zitutumikie sisi.

You said right! hela itufanyie kazi na sio sisi kutumikia hela! we need to wake up and start working so hard! tuache pia kulala mika kuhusu wa Kenya! we need to see nini kinapungua upande wetu then let us work towards the gaps and improve them!

Watanzania tuna all potentials kufanya vizuri kwenye sector zote lakini tunaogopa sana kuchukua risk, Risk ni sehemu ya biashara na kuendelea [those are balance and checks]

Thank you Salufu CA
 
Wana Jamii, just joined and nimefurahishwa na information ambazo tunazo na tumekuwa tayari ku share na wana jamii! nawashukuru sana!
 
Hongera kwanza kwa maamuzi hayo.

Mimi sijawah fanya biashara ya kuku ila ninawafuga kias nyumban wa mboga cku nikipenda natumia.ninachokutia moyo tu kuku wa kienyeji ufugaji wake c o mgumu kama wa kisasa hawasumbui.

Pia utapoanza biashara yake utapata faida kubwa maana bei yake ni kubwa kuliko wakisasa.na pia wanapendwa na watu mahotelin japo wanabei kubwa sbb hawatumii madawa kama wa kisasa.

Wapo ngangari wanaitwa kuku wa mazoezi hawaugui ugui kama wakisasa.
 
Safi Snochet..namna hii tutafika, siyo watu wa sua wanaoukalia utaalamu..je ni kuku wangapi nawezafuga ktk room ya mita 3x3?..Mungu akubariki..
 
Mkuu natamani mawazo yako unge yapatent..sijawahi kuona mawazo ya ukweli kama haya...asante
 
FORMULA 100Kgs za Chakula cha Kuku
  1. Mahindi yaliyoparazwa 25Kgs.
  2. Pumba za Mahindi 25Kgs.
  3. Dagaa/Uduvi 10Kgs.
  4. Unga wa Mifupa/Bionemeal 5Kgs.
  5. Chokaa/Limestone 5Kgs.
  6. Mashudu ya Alizeti 5kgs.
  7. Mashudu ya Pamba 10kgs.
  8. Ngando ndogondogo 5kgs.
  9. Machicha ya ngano/Wheat Brand 10kgs.
formula hii ni ya chakula cha kuku wa aina gani
1. vifaranga?
2. wanaokua?
3. wamayai?
4. wa nyama?
5. wazazi?
6. wa kienyeji na kwa ajili gani????
please be specific
utengenezaji wa chakula hutegemea;
-mahali ulipo na upatikanaji wa viini lishe
-sifa ya viini lishe
-uwingi wa kuku
-bei ya viinilishe n.k
- aina ya kuku na umri wao kutokana na kutofautiana katika mahitaji yao, mfano chakula cha kuku wa mayai wanaotaga ni sumu kwa vifaranga kwasababu ya uwingi wa madini ya chokaa ambayo huwasababishia hypersensitivity na kisha baadhi yao kama sio woter kufa.
ni vizuri wafugaji wakazingatia ulishaji wa chakula kwa msingi ya aina ya chakula na makundi husika otherwise one may not be able to get the desired results
 
basiii umemaliza kila kitu nilikuwa na wazo hilo lo na nimeipta hii posti kwa google search siendelei na kutafuta page nyingine....zote za kiingereza nilizopitia ni ngumu kuliko hiiiii yako na inatekelezeka kuliko hizo zao....thanks in advance

 
Daah! Huyu jamaa ana roho nzuri kweli. Watu wengi wanaficha hii fomula labda uwalipe tena sio kidogo lakini jamaa meitoa hadharani hebu mungu ambariki kwa roho yake nzuri. Kwa mtindo huu tunaweza kupiga hatua na kujikwamua kimaendeleo na kupiga vita umasikini ulioigubika nchi yetu. hapa sikufichi umesaidia maelfu ya watanzania.
 
Back
Top Bottom