Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Interchick wapo mbezi beach dsm, Silverland wapo Iringa(japo dsm wanao mawakala wengi tu.Na kimpuni zipi naweza pata Broiler? Msaada tafadhali
Silverland kwa saso na akmglitter kroilaWadau, ni kampuni zipi kubwa ambazo naweza agiza vifaranga wa kuku chotara (F1) ?
Poapoa. BossSilverland kwa saso na akmglitter kroila
Majani gani hayoAsante mkuu kwa sasa mimi sio mfugaji lakini nimeshawahi kufuga na kupata faida kubwa sana kutokana na kuku. Ni kweli kuna changamoto za magonjwa lakini kama utapata ushauri kwa mtaalamu wa mifugo aliyeko karibu nawe utagundua wazi kuwa si kitu cha kuogopa.
Kwa upande wangu kipindi hicho nilichokuwa mfugaji nilikuwa natumia dawa ya asili, kuna majani ambayo nilikuwa naletewa na mtaalamu mmoja wa tiba za asili ambayo yanatwangwa na kuchanganywa kwenye maji ya kuku amini wanakuwa hawasumbuliwi na magonjwa. Si nia yangu kukuelekeza dawa hiyo kwa ni siku nyingi kidogo zimepita ila ninachokushauri onana na mtaalamu wa Mifugo. Napenda kukufahamisha kuwa mimi nilianza na kuku watano tu lakini ndani ya miaka mitatu nilikuwa mbali sana.
Watakufa sana, hawana kinga asili ya magonjwa kama kuku wa kienyejiHivi BROILER nikiwafuga kienyeji yaani wajitafutie chakula kwani kuna shida gani?