Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wakuu JF nimeamua kufuga kuku wa kienyeji kibiashara. kuna dawa ya kienyeji kutibu\kinga ya magonjwa kama kideli?
wakuu JF nimeamua kufuga kuku wa kienyeji kibiashara. kuna dawa ya kienyeji kutibu\kinga ya magonjwa kama kideli?
Nina mpango wa kuanza kufuga kuku wa kienyeji mwishoni wa mwaka huu. Lakini hii biashara kwangu ni sawa na usiku wa giza, kama wanavyosema kila kitu kina mwanzo.
Ninaomba kujuzwa ni incubator ya aina gani inaitajika? Na incubator ya aina moja inaweza kutumika kwa mayai ya kuku wa kienyeji na kisasa(broilers).
Dhumuni nina taka kuanza kutafuta used kwenye auctions.
Nina mpango wa kununua Europe, kwasababu itakuwa ni used bei inaweza isiwe ya kutisha. Niliona sehemu ya mayai mia tisa,ni ndogo au kubwa kwa kuanzia biashara? Kutoka China inaweza kuwa shilingi ngapi?Mkuu Incubator unaweka kila aina ya mayai, pale kinacho mata ni lile joto tu na kwa sababu kuku wote kisasa na kienyeji joto lao ni moja basi hapo haina shida, Incubators nyingi za Kutoka China zinatotoresha mayai yote ya Viuombe kama Reptilia na Ndege zote
Kuhusu Mashine ninakushauri ununue kutoka China make huku Bongo ni usanii mtupu, na watengenezaji wengi wa Bongo hununua spare part kutoka China then huja kuunga uunga mabox huku na kupata Incubators, za China, Uingereza, Italy, South Africa, Uturuki na hata Kolea ni nzuri sana ila bei zinatofautiana, za Uingereza, Italy, South africa na Kolea bei zao ziko juu mno
Nina mpango wa kununua Europe, kwasababu itakuwa ni used bei inaweza isiwe ya kutisha. Niliona sehemu ya mayai mia tisa,ni ndogo au kubwa kwa kuanzia biashara? Kutoka China inaweza kuwa shilingi ngapi?
Na mayai yanachukua muda gani kwenye incubator mpaka kutotoa?