Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

wakuu JF nimeamua kufuga kuku wa kienyeji kibiashara. kuna dawa ya kienyeji kutibu\kinga ya magonjwa kama kideli?
 
wakuu JF nimeamua kufuga kuku wa kienyeji kibiashara. kuna dawa ya kienyeji kutibu\kinga ya magonjwa kama kideli?

Kwanini dawa ya kienyeji?Hata kuku wa kienyeji unaweza watunza kawaida na madawa yapo kwenye vets.Nahuko waweza pa
pata wataaum.
 
wakuu JF nimeamua kufuga kuku wa kienyeji kibiashara. kuna dawa ya kienyeji kutibu\kinga ya magonjwa kama kideli?

Kideri au mdondo kuna madawa Vets ila na kumbuka Kideri ni iko kwenye kundi la magonjwa ya virusi na hakuna tiba bali kinga.

Kwa dawa ya kienyeji si rahisi kupata kinga moja kwa moja ila alovera ukiitwanga na kuiweka kwenye maji kila siku (yasilale) kuku wakinywa wanajenga kinga kidogokidogo .............
 
nenda jukwaa la ujasiriamali huko kuna full data zote mpaka utazichoka.
 
Ninachojua kuku wa kienyeji wanatibiwa/wanachanjwa kwa kutumia dawa zilezile zinazotibu/chanja kuku mnaoita wa kizungu
 
Pia kuna mmea unaitwa tulatula sijui kama ni Kiswahili au kikwetu), mimi huwa nawatwangia majani yake na kuweka kwenye maji wanakunywa. Sina ushahidi wa tiba wala kinga ya nini ila huwa nawapa kwa kuwa nami nilipokuwa mdogo nilimwona baba anawapa. Pilipili pia zinatumika japi sijui zinasaidia nini, hasa pilipili kichaa.
 
kwa wale wanaohitaji kuku wa kienyeji kwa ajili ya kula na kufuga nipigie 0762-311700
wanauzwa Tshs 12,000/-
 
Jamani hata mimi nina harakati za kuanzisha biashara ya ufugaji wa kuku wa kienyeji so kama kuna mtu ana contact mobile number ya PEARL angetusaidia ili tuwasiliane naye kwa msaada zaidi
 
Ufugaji kuku wakienyeji una faida kubwa zifuatazo
1. kuanzisha mradi hakuhitaji mtaji mkubwa sana.
2. Kuku wa kienyeji hawahitaji eneo kubwa sana
3. kuku wa kienyeji wanastahimili mazingira magumu
4. Kuku wa kienyeji hawaugui mara kwa mara
5. kuku wa kienyeji wana soko kubwa sana
6. kuku wa kienyeji ana bei kubwa sokono
7.Mayai ya kuku wa kienyeji ni mazuri sana
8. Mayai ya kuku wa kienyeji yana soko kubwa
KAMA UNAPENDEZWA NA MRADI WA UFUGAJIKUKU WA KIENYEJI UNAWENZA KUJA KWETU:
1. Kununua vifaranga au
2. Kununua mashine ya kutotolea vifaranga au
3. Kununua mayai au
4. Kupata ushauri.
KARIBU SANA NA KWA MAWASILIANO TEMBELEA
EXPEDITO CASTORY MDUDA
 
Mkuu nyie si ndo huwa mnapost humu halafu mnaingia mitini hamtaki kujibu Maswali? Vipi kwenye Incubators mna muda gani tangu muanze kutengeneza?
-Mnatumia Techinolojia ya wapi kutengeneza?
- Na vipi kuhusu Techinical parameta?
Range of Temperature Display-
Range of Humidity Displya-
Precision Temparature display-
Precision temperature contarol-
Time of egg turning-
Period of Egg turning-
Period of Ventilation
Time of Ventilation-
Length of mesuring line-
Life time ya Mashine-

Elezea Uatomatic wake-

Jibu hayo maswali kwa vizibitisho
 
Na hizo zenu mnatengeneza wenyewe au mnaagiza kutoka nje na nyie ni wakala tu? make za bongo ni pasua kichwa,
 
Kama kawaida mmeingia mitini, ngoja nizitafute zile thread zenu zingine mnazo post and then mnaingia mitini
 
Hawa ni wasanii, wanaleta picha za Incubator kutoka kwenye mitandao theni wanazuga wanatengeneza wao
 
Ni kweli kuku wa kienyeji ni dili sana lkn ingekuwa vyema ungenieleza the whole process from begin mpk kukuwa kwake kitaalamu kwani huwa wanakufaga sana kwa ugonjwa wa "Mdondo" huu ugonjwa ni adui mkubwa sana kwa maendeleo kwa kuku wa kiswahili!
 
Nina mpango wa kuanza kufuga kuku wa kienyeji mwishoni wa mwaka huu. Lakini hii biashara kwangu ni sawa na usiku wa giza, kama wanavyosema kila kitu kina mwanzo.

Ninaomba kujuzwa ni incubator ya aina gani inaitajika? Na incubator ya aina moja inaweza kutumika kwa mayai ya kuku wa kienyeji na kisasa(broilers).

Dhumuni nina taka kuanza kutafuta used kwenye auctions.
 
Mkuu Incubator unaweka kila aina ya mayai, pale kinacho mata ni lile joto tu na kwa sababu kuku wote kisasa na kienyeji joto lao ni moja basi hapo haina shida, Incubators nyingi za Kutoka China zinatotoresha mayai yote ya Viuombe kama Reptilia na Ndege zote

Kuhusu Mashine ninakushauri ununue kutoka China make huku Bongo ni usanii mtupu, na watengenezaji wengi wa Bongo hununua spare part kutoka China then huja kuunga uunga mabox huku na kupata Incubators, za China, Uingereza, Italy, South Africa, Uturuki na hata Kolea ni nzuri sana ila bei zinatofautiana, za Uingereza, Italy, South africa na Kolea bei zao ziko juu mno
 
Nina mpango wa kununua Europe, kwasababu itakuwa ni used bei inaweza isiwe ya kutisha. Niliona sehemu ya mayai mia tisa,ni ndogo au kubwa kwa kuanzia biashara? Kutoka China inaweza kuwa shilingi ngapi?
Na mayai yanachukua muda gani kwenye incubator mpaka kutotoa?
 
Mkuu muda si ni kama wa kuku siku 21? haiana tofauti na kuku, Mkuu China kampuni ziko nyingi mno zinazo tenegneza Incubators na bei zao ziko Chini kabisa ingawa kuna zingine ni ghali, Ila ya Mayi 1500 mpaka kuifikisha Babdari ya Dar ni kama Milioni Moja na Lakini Mbili tatu, Ya mayai Buku ni kama laki 9 hivi,
 
Back
Top Bottom