Zipuwawa
JF-Expert Member
- Nov 28, 2010
- 3,050
- 656
Ngoja nizalishe nitaweka sokoniMkuu nawezaje kuwapata hao kuku
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja nizalishe nitaweka sokoniMkuu nawezaje kuwapata hao kuku
Watanzania tuliowengi tuna ideas nyingi sana za namna ya kujikwamua kiuchumi na kuishi maisha yenye neema na baraka tatizo ni kwamba kuna limitations nyingi sana zianazotuzuia kama vile
1.Ufahamu wa mambo
2.Mfumo mbaya wa sera za nchi yetu unaosababisha tatizo #3
3.Upatikanaji wa mtaji
4.Miundo mbinu mibovu yani namanisha kutoka Buguruni mpaka Tabata unatumia masaa mawili(wastage of time)
5.Ubinafsi wetu watanzania(tumeua siasa ya ujamaa na kujitegemea ambayo ndiyo pekee yenye manufaa kwetu)
6.Uvivu
Biashara ya kuku tena wakienyeji ni biashara nzuri inayoweza kuongeza pato binafsi na la taifa lakini ukianagalia wanaoifanya ni wachache nawanifanya bila tija ya kutosha kwasabau ya hizo limitations nilizozitaja hapo juu + uvivu
Nashauri kwa wenyefedha wekezeni kwenye biashara hii ni nzuri na mtasaidia kupunguza tatizo la njaa nchini nakuongeza thamani ya shilingi yetu dhidi ya dola ya marekani.
Hata wewe unayefikiri kuwa huna uwezo wa kufanya jambo lolote unaweza ukatafuta wenzako popote hata hapa mkaanzisha kampuni ya ufugaji kuku mkaenda mkaomba eneo popote ardhi bado nikubwa nchini sio lazima Dar tu pwani,morogoro na kwengine manaanzisha biashara hii mnaajiri watu wanfanya kazi kwajili yenu na kwajili ya wote baada ya muda lazima utoke .
Huu ni wakati wa kushikana mikono na kufanya mambo kwa pamoja (kama unaweza ku manage pake yako it is fine)tuiache serikali yetu iendelee kulipa madeni ya dowans na sisi tufanye kazi zetu wenyewe vinginevyo hali si nzuri,wakati serikali haidaiwi na rich mond hali ilikuwa mbaya sasa sijui wakati huu wa madeni.
Nafurahia JF coz nimahali tuna share ideas na kuzifanyia kazi wenzetu wa JE saccos wanakaribia kufikia tamati nzuri na ni kwa style hii hii tutakabiliana na matatizo ya uchumi chini
The discovery of agriculture was the first big step toward a civilized life.
Arthur Keith
Karibu ndugu mie nimejifunzia hapa mengi. Ni kweli 600 na aliuza wote nilipoenda baada ya mwezi nilikuta wameisha. Uzuri wa hawa huna pressure kama broiler maana huku unauza kuku huku unaokota mayai. Wateja wakiishakujua huna haja kuwafata.
Mama Joe mambo vipi?
Mnaweza ona nawatenga ila hakika cjawatenga hata kidogo jamani. Ni mambo yameingiliana tu na kunifanya kuwa busy muda mwingi na unajua jukwaa letu lilivyokuwa makini. Ila hakika nitarudi hapa soon kwn mambo yamesogea na yametulia tuli.
Copy kwa;
Kubota
Mama timmy
mito
asigwa
Na wote wale wa jukwaa lengwa!
Nimefurahi sana kukusikia hapa darasani.miminiko katika maandalizi ya kufuga chotara baada ya kutiwa moyo na mama joe!hakika jf ni darasa tosha.Mama Joe mambo vipi?
Mnaweza ona nawatenga ila hakika cjawatenga hata kidogo jamani. Ni mambo yameingiliana tu na kunifanya kuwa busy muda mwingi na unajua jukwaa letu lilivyokuwa makini. Ila hakika nitarudi hapa soon kwn mambo yamesogea na yametulia tuli.
Copy kwa;
Kubota
Mama timmy
mito
asigwa
Na wote wale wa jukwaa lengwa!
Mama Joe mambo vipi?
Mnaweza ona nawatenga ila hakika cjawatenga hata kidogo jamani. Ni mambo yameingiliana tu na kunifanya kuwa busy muda mwingi na unajua jukwaa letu lilivyokuwa makini. Ila hakika nitarudi hapa soon kwn mambo yamesogea na yametulia tuli.
Copy kwa;
Kubota
Mama timmy
mito
asigwa
Na wote wale wa jukwaa lengwa!
Nimefurahi sana kukusikia hapa darasani.miminiko katika maandalizi ya kufuga chotara baada ya kutiwa moyo na mama joe!hakika jf ni darasa tosha.
Ahsante sana rafiki yangu mama joe!twende pamoja , na tuweke uthubutu kwenye ufugaji wetu na tutafika pale tunapopatamani.wao wameweze wana nini hata sisi tushindwe?Waaoooo Mama Timmy karibu sana, mie pia kwa michango yenu najaribu kutanuka niwe kienyeji zaidi nitajifunza mengi kwenu.
samahani mkuu nimefatilia hii thread muda mrefu , vishingo ni kuku wa aina gani au nitawatambuaje nami niweze kuwafugaUmecross breed Chotara na Vishingo? Nilishawahi kuwafuga hawa vishingo nikiwa mwanafunzi walikuwa wanataga hadi kero.ni wazuri sana najipanga nianze kuwafuga kibiashara sasa unaweza ukawa na Vishingo wengi kwa ajili ya kuuza mayai tu (bei ya mayai ya kienyeji ni nzuri sana na demand ipo juu) na ukafuga chotara kwa ajili ya kuwauza wao wenyewe
Vishingo ni wale kuku wasio na manyonya kwenye shingo.samahani mkuu nimefatilia hii thread muda mrefu , vishingo ni kuku wa aina gani au nitawatambuaje nami niweze kuwafuga
Ahsante sana rafiki yangu mama joe!twende pamoja , na tuweke uthubutu kwenye ufugaji wetu na tutafika pale tunapopatamani.wao wameweze wana nini hata sisi tushindwe?
Nimefurahi sana kukusikia hapa darasani.miminiko katika maandalizi ya kufuga chotara baada ya kutiwa moyo na mama joe!hakika jf ni darasa tosha.
mkuu pleo hapo n0.3 unamaanisha nini, sijapaelewa vizuri
ndugu Mito,
naomba nijaribu kwa mfano mwepesi. Ukiweka kuku wa chotara/wanyama na wakienyeji, katika mazingira ya kufungiwa, wa awali watajenga misuli na nyama kwa % (kwa kulinganisha na mafuta mwilini) kubwa ukilinganisha na wa kienyeji. Hivyo chakula, muda (rasilimali).... vitakua vinatumika chini ya kiwango, hivyo kupelekea kupunguza faida kwa kuweka wa kienyeji katika mazingira ya kufungiwa.
Mkuu Asigwa hii umeleta hapa ni funga mwaka !!! Naandika kwa shida sana kufuta machozi na mafua yanatiririka, mbavu zinaniuma sana umezivunja zote, wewe ni kiboko? Mkuu ufundishaji wa somo kwa mtindo huu somo linakamata kabisa. Nakupongeza sana kwa safari yako hiyo na ulivyo mkarimu kushea maarifa makubwa hayo. Hakika maboresho ya JELA ni makubwa kupindukia. Huyo mama anatisha ni mbunifu hasa. Asigwa hiyo JELA ya pili itafutie jina Mkuu, au tuiite jela ya mapenzi ha ha haaaa!! Asante sana huo utaalamu nimeudaka imefika penyewe ni kutumia tu huo utaalamu ili kupunguza mayai viza na kuhakikisha vijogoo uchwara hawagusi watagaji bora.