Ufugaji wa kuku wa kienyeji ni jambo linalowezekana

Kwenye chakula ndiko unakokosea mpaka unaona kufuga ni gharama, nilishawahi kufuga kuku wakafika 300. Ila nilikuwa natengeneza chakula Cha gharama nafuu
 
  • Nipo makini kufuatiliwa majizano ya wote.
  • Endeleeni kufunguka.
  • Nitasema neno hali na muda vitakaporuhusu.
 
Kulima? Mahindi? Umeshawahi kulima? Nimelima sana , mvua hizo za el nino mimea yote ya mahindi imeoza yameoza
We kila mahali unafeli? kulima mahindi mara El nino kufuga mara gharama sana sasa utaweza nini life ni kukomaa tu it takes time kuotea tobo and the rest inabaki history sio kuanza hiki unaacha unaenda kingine
 
Vp ripoti ndg?
 
Naomba niwape mrejesho
Zoezi langu limefanikiwa kwa kiasi kikubwa sana ,lengo lilikua nifuge na nipate kuku1000 lakini ktk jambo lolote changamoto lazima ziwepo nilikumbana na ugonjwa wa vifaranga kuharisha damu so baadhi vilikufa lakini pamoja na Hilo nilifanikiwa kupata kuku 628 na kupitia safari hii nmejifunza mengi sana , nashkuru nilipata mteja kutoka humu humu jukwaani na alichukua kuku 540 na Hawa niliobaki nao naanza nao safari mpya ya matumaini makubwa sana
Karibuni tufuge jamani kwa sasa Nina bata bukini,bata mzinga ,bata wa kienyeji, bata wa mayai kanga weupe na wa madoa na pia Nina mbuzi mtaji wa kuku umenipa mambo mengi sana
Alamsiki
 
Mkuu unapatikana wapi ?
 

Samahani naweza kupata mawasiliano yake nauhitaji wa mayai..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…