nzalendo
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 12,106
- 12,916
Wa kienyeji ila ni eneo kubwa hasa.Anafunga wa kienyeji ama kisasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wa kienyeji ila ni eneo kubwa hasa.Anafunga wa kienyeji ama kisasa
nifundishe na mimi mku8Kaka njoo nikufundishe kumlisha kuku wa kienyeji akifikia miezi 3 watu wanamshangaa au wanasema sio kienyeji
safi mkuu. pia mcheki jamaa anaitwa mzee chicks yuko Uganda utaokota maarifa zaidiNaendelea kuwapa mrejesho ndugu zangu mradi wangu unaendelea kuku wale wale waliokua wanalalia nmewarudishia mayai kwa awamu ya pili na tatu Hawa wengine nmeacha watage tu pia Kuna kitu nmejifunza kupitia Hawa kuku wa kienyeji ukimuachia nje azurure atataga kila siku na ukiwa unamfungia utagaji wake unakua ni wakusua sua sana
CHINI NI PICHA ZA VIFARANGA AMBAO WANAKARIBIA 200 SASA WA MWEZI MMOJA NA WA WEEK MOJA
PURE KIENYEJI.View attachment 2776081View attachment 2776082View attachment 2776083View attachment 2776084
Chagua kufuga au kulimaNataka niingie kwenye hii project by the end of this year. Nina shamba kubwa like heka zaidi ya ishirini na kuna bonde pia pembeni ya shamba. Changamoto zangu ni moja, shamba liko mbali na mm. Ni lazima nimtafute shamba boy wa kuangalia shamba na mifugo. Na pili ndani ya shamba nataka nilime mahindi na mazao mengine so hofu yangu ni kuku kula hayo mazao sasa sijui ntafanyaje hapo wadau. Lkn natamani sana kufuga kuku
Duh! That short advice. But. Asante mkuuChagua kufuga au kulima
Safi sana huu ndio ushauri wa kutoaKomaa mwana kikubwa usimamizi ulionyooka.
Njia za kutokea kamwe hazifanani...pita mapito yako kwa style yako Kamanda.
#wontStop Can't stop.
Huu uzi ndiyo ule unaoongolea ufugaji wa kuku wa kienyeji?Sasa matusi ya Nini? Tubu dhambi hiyo. Nitarudi kwako baadaye
Akikupa gharama ya chakula utazimiaInawezekana....nakutia[emoji846]....moyo
Kuna rafiki yangu kafikisha kuku 10,000 na zaidi...ila hafanyi shughuli nyingine...yupo mwenyewe 24/7...
Siku namtembelea alikuwa anauza majogoo 15,000x500=7,500 000
Na nikiangalia wale kuku wala sioni tofauti kama wamepungua.....Sasa fikiri haupo ni umeweka mfanyakazi.....lazima akutie[emoji115]
Anafungulia nje eneo kubwa wanajiokotea kapanda majani....pia chakula anawawekea kwa mafungu njeAkikupa gharama ya chakula utazimia
mifugo hailali, tunailazimisha kwa kuwaweka gizani, lakini watakiwa wale day & night kama broiler vileKama una eneo kubwa, waweke wawe free range wajitaftie chakula. What you do, asubuh unawawekea kidogo af unawaacha watafute, jioni wakikaribia kurudi unawawekea tena chakula kidogo af wanaenda kulala.
Same thing kwa vifaranga, wakimaliza mwezi unawaachia. Kwa kias fulani itapunguza gharama ya chakula.
Muhim uwe na fence na uhakikishe hawali mavi. Pia vicheche ni hatari.
All in all kila.la kheri mkuu
Jiongeze mwaga maji majani yatachipua kuku watakula utawahudimia kwa muda mfupi tu halafu watajitafutia wenyewe.Practicality yake ndiyo ngumu. Ninafuga hao wa kienyeji kama 40 hivi. Chakula kinanitoa jasho. Kilo Moja ya mchanganyiko wa pumba, mashudu alizeti/ pamba, mahindi, lukina, dagaa ni elfu moja. Wakila kilo 5 a day for six months....na unauza unapata Nini?
Nina eneo kubwa kama nusu eka, lkn hakuna chakula maana ni jua hakuna wadudu wa kuokoteza. Mahotelini labda lkn na wenyewe watakuchoka unless unalipia matakataka hayo. Dampo huko siwezi...
Kibaya soko lake ni kama hakuna. Hapa kwetu mjini ni elfu kama sh 15-35...nani uswazi atoe Hela hiyo!
Nami nilivutiwa na story kama hizi, lkn Kuna shida kidogo Kwenye chakula. Magonjwa siyo kihivyo ukiwa makini na chanjo, vitamins, minerals etc etc
Shamba boi aive kwelikweli ktk suala la ufugaji kuanzia chanjo kwa wkt na usafi wa vyombo na banda kwa wakati pia muda mwingi awepo site.Nataka niingie kwenye hii project by the end of this year. Nina shamba kubwa like heka zaidi ya ishirini na kuna bonde pia pembeni ya shamba. Changamoto zangu ni moja, shamba liko mbali na mm. Ni lazima nimtafute shamba boy wa kuangalia shamba na mifugo. Na pili ndani ya shamba nataka nilime mahindi na mazao mengine so hofu yangu ni kuku kula hayo mazao sasa sijui ntafanyaje hapo wadau. Lkn natamani sana kufuga kuku
Asante sana mkuu kwa ushauri huu mzuri. Nitaufanyia kaziShamba boi aive kwelikweli ktk suala la ufugaji kuanzia chanjo kwa wkt na usafi wa vyombo na banda kwa wakati pia muda mwingi awepo site.
Pili anza na wachache hata tetea 30 jogoo 4 ili usome upepo wataongezeka wenyewe mdogomdogo usitumie gharama Sana kuwanunua.
Ingia gharama kuwatengea uzio wao ili wasiharibu mazao Yako,mabanzi/wire au Jenga ukuta Kabisa hii itasaidia pia kudhibiti vimelea vya magonjwa (biosafety)
Zaidi kumarisha ulinzi fuga mbwa ili kudhibiti vicheche
All the Best
Tatizo mnapenda kila kitu kukatishaga watu tamaa yan kijinga kuku wana faida kama huwezi kufuga waachie wenzako wafugeChakula kitakutoa jasho maana wanakula sana na hawakui haraka mpaka miezi 6 or so! Hutaweza!
Sasa utazimia na nin ungekuta watu hawafugi hawa kuku unaokula wanatokaga wapi acha fikra za kivivuAkikupa gharama ya chakula utazimia