Ufugaji wa kuku wa kienyeji ni jambo linalowezekana

Ufugaji wa kuku wa kienyeji ni jambo linalowezekana

Sasa utazimia na nin ungekuta watu hawafugi hawa kuku unaokula wanatokaga wapi acha fikra za kivivu
Wewe ni mpuuzi mkubwa na stupid! Umengangana na , kukatisha tamaa, wanakotokaga! Rubbish!

Kuku wa kienyeji huwezi kuwamudu kuwanunulia chakula, wakaja kutaga baada ya miezi 6 au zaidi na kuuzwa kwa nyama baada ya miezi 9-12 ukapata faida yoyote. Wanakula balaa! Ninao around 50 as of today, nilishindwa nikaamua kuwaachia baada ya kununua eneo kubwa 3 acres, sasa wanajitafutia, mara moja moja unawatupia chakula cha dukani kupata essential nutrients! You can not make it a daily meal!
 
Mkuu umekuja kwa shari sana. Sisi humu tunajadiliana politely. Don't take every detail in a serious note. Be humble, maisha haya ni mafupi sana kuwa mkali kiasi hicho .
 
Komaa mkuu hata mimi nawafuga hao kuku. Nimefikia hatua ya kuokota mayai nayauza kwa sh 12000 kwa tray.

Urahisi wa chakula kwangu upo maana nasimamia mashine ya kusaga nafaka (unga wa mahindi) hivyo wala sihangaiki
 
Kumekuwa na kasumba juu ya swala Zima la ufugaji wa kuku wa kienyeji kuonekana kama ni swala lisilowezekana yaani kufuga kuku wa kienyeji mpaka kufikia idadi kubwa yani 1000, 2000 au hata 3000

Baada ya majaribio kadhaa ya kufuga hawa kuku sasa rasmi nmeingia kwenye ufugaji wa kuku wa kienyeji kwa mazingatio ya hali ya juu na mpaka kufikia mwezi December nataka kuwa na kuku si chini ya 1000.

Nimeanza na makoo 35 na majogoo 6. Mpaka sasa nina vifaranga zaidi ya 50 ambao nawalea kwa kutumia joto la taa na mkaa na makoo zaidi ya 7 yanayolalia mayai yasiyopungua 15 kwa kila moja

Rafiki njoo tubadilishane mawazo juu ya mradi wa kuku wa kienyeji pure.

View attachment 2738085View attachment 2738086View attachment 2738088
Kuna jamaa anawafuga anao kama buku sema uzuri sehemu anakoishi watu badi hawajajenga anawaachia wanazurura hivyo wanampunguzia gharama za chakula. Makuku yamenawiri kweli. Anafuga kuku, kanga na mbuzi. Alikuwa anafuga na bata ila alisema hawana soko
 
Ni Kweli Unanunua Chakula Ghari Cha Kisasa Upate Matokeo Changamoto Ukuaji Wao Pole Pole
Halafu soko ni hafifu maana bei ya 15,000, 20,000,30,000 very few can affors that. chini ya bei hiyo ni hasara tupu maana unamlisha miezi 6 ndiyo awe na sura ya mteja kumtamani..... gharama kubwa sana kumfikisha hapo. (nawafuga nasema ninachokiona....niliamua kuwaachia wajitafutie lkn wanaibiwa kishenzi)
 
Mimi Ninao Wachache Nia Nipate Mayai Siyo Biashara
Angalau Ndani Ya Week Ukitaka Mayai Unapata
Bei Hiyo Uliyoitaja Kupata Mteja Ni Mtihani
 
Ni muhimu piakujua na kuwa na mkakati wa kufanya eneo lako liendelee kuwa na majani maana kweli kuku wanadonoa sana majani unaweza kushangaa ndani ya muda mfupi pakawa kama panapita watu kumbe ni kuku wamepashindilia kwa kukanyaga.

lakini pia namna bora na ya uhakika ila ina gharama ni kutengeneza wavu sabafu yaani unaweka wavu wa kuku umbali wa kama nusu futi kutoka ardhi kwa maana hiyo kuku hawatakanyaga ardhi bali watapanda juu ya wavu ili kula majani yaliyooteshwa. sijui kama nimeeleweka vizuri

Na hii njia unaweza kufanya kwa kutenga maeneo tofauti tofauti kwenye eneo lako na kupanda majani mfano mchicha na kuu sasa ukaweka huo wavu so kuku akitaka kula majani itamlazimu kupanda juu ya wavu, usisahau pembeni napo utapaziba kwa wavu ili wasipenye chini. kazi yako itakuwa ni kunyesha maji na kuotesha mchicha mwengine

Kwa namna hiyo ardhi itabaki na majani hata ukifuga kuku elfu saba maana hawataweza kula hadi shina za majani sababu yamefunikwa kwa wavu wao ni kupanda juu tu au kula kwa pembeni.
Asante kwa haya madini chief
 
Kulima? Mahindi? Umeshawahi kulima? Nimelima sana , mvua hizo za el nino mimea yote ya mahindi imeoza yameoza
Dah! Yaani hapo ndio mwisho wa kufikiri mkuu? Kwa hiyo afanyaje? Maana kila ushauri anaopewa ni mbaya! Kwa hiyo hapa Tanzania hakuna wanaolima na wakavuna?
 
Dah! Yaani hapo ndio mwisho wa kufikiri mkuu? Kwa hiyo afanyaje? Maana kila ushauri anaopewa ni mbaya! Kwa hiyo hapa Tanzania hakuna wanaolima na wakavuna?
Invetment ya kubahatisha siyo nzuri kama umewekeza hela be it mkopo au saving zako. Mvua haziaminiki.....Mwaka huu yamenipata nililima mahindi about 20 acres, mvua hizo ........yote yamekuwa mekundu na kuoza...... narudisha nini bank!??? ndiyo concern yangu. Kuna mwaka mvua zinakuwa nzuri unapat... kama umewekeza nguvu tu..haina shida hata vikiharibika.
 
Kama eneo ni kubwa na salama wanajiokotea wenyewe.....unaongeza matakataka kidogo toka ma dampo ya sokoni..migahawani

.

Hauwezi kufuga kuku 10,000 tena wa kienyeji Kwa kuwatafutia chalupa kwenye madampo na migahawani. Biashara yoyote huwa haina shortcut Kwa urahisi hivyo. Ukitaka kufuga hivyo lazima ufikiri ni names gani hao mifugo watakula
 
Kinadharia uko sahihi
👍
 
Back
Top Bottom