Mchumba
JF-Expert Member
- Jul 27, 2012
- 280
- 262
Habari yako mkuu,Wana-jamvi mimi nina kitabu, cha kufuga kuku wa kienyeji, nimeshindwa kukiweka hapa, mwenye haja ani PM, tafadhali , espescially wewe FIRST LADY, wataka kufuga wa kienyeji!!!!!!
Tafadhali ninaomba uni-PM kitabu cha ufugaji wa kuku wa kienyeji maana mie nae ni mfugaji ila napata changamoto sana juu ya hili
Nashukuru sana na ubarikiwe...