Ahadi Shitindi
Member
- Aug 17, 2016
- 21
- 15
hao kuku wa kupewa chanjo wakitoka tu kwenye yai ni wa aina gani wa kisasa kwa maana ya chotara au wa kienyeji.?Nasikia kuna chanjo ambanzo huwa zinatolewa mara baada ya kifaranga kuanguliwa,hizo chanjo zinaitwaje?na kwa mtu anayetegemea kutotolesha vifaranga kwa kutumia kuku wazazi anaweza akazipataje?.
Hapo ndipo unapotakiwa unielimishe Kama wanao takiwa kupewa chanjo Mara baada ya kutotolewa ni kuku wa aina gani au Kama hakuna chanjo yoyote inayochanjwa baada ya kifaranga kutotolewa ukilenga ushauri ukilenga maelekezo unayowapa Wateja wako wa Icubator Mara baada ya vifaranga kutotolewa kwenye incubator wanatakiwa wapewe chanjo gani?au hakuna cha kupewa chanjo yoyote?.hao kuku wa kupewa chanjo wakitoka tu kwenye yai ni wa aina gani wa kisasa kwa maana ya chotara au wa kienyeji.?
Chanjo ipo vifaranga wakitoka kwenye incubator day one wapewe chanjo inatwa Mareks ni muhimu then chanjo zingine zinafwataHapo ndipo unapotakiwa unielimishe Kama wanao takiwa kupewa chanjo Mara baada ya kutotolewa ni kuku wa aina gani au Kama hakuna chanjo yoyote inayochanjwa baada ya kifaranga kutotolewa ukilenga ushauri ukilenga maelekezo unayowapa Wateja wako wa Icubator Mara baada ya vifaranga kutotolewa kwenye incubator wanatakiwa wapewe chanjo gani?au hakuna cha kupewa chanjo yoyote?.
Karibu mkuu ktk fani ya ufugaji wa kuku wa kienyeji.Asante kwa uelimishaji maana nategemea mwezi wa kumi kuianza hii kazi japo kwa kuku wachache wa kienyeji.
Habari yako, sijajua unafuga kuku wa aina gani lakini sisi ni wazoefu zaidi ya miaka kumi sasa kwa maana ya kutotolesha na kufuga kuku wa kienyeji, na mwanzoni tulihangaika sana na hiyo chanjo Ya MAREK'S .Lakini baadae bada ya kufanya uchunguzi tukagundua kuwa huo ugonjwa (MAREK'S) ugonjwa ambao ukiufananisha na wa binadamau ni sawa na unaowapata wakina mama(kifafa cha uzazi) ambao kwa kuku ni MAREK'S , kwa kawaida kuku akiumwa MAREK'S hufa ile siku ya kwanza kabisa atakapoanza kutaga(kama atakua ameathirika na huo ugonjwa). na huo ugojwa huwashika kuku wale wa mayai(ambao wako kwa ajili ya mayai tu).Hapo ndipo unapotakiwa unielimishe Kama wanao takiwa kupewa chanjo Mara baada ya kutotolewa ni kuku wa aina gani au Kama hakuna chanjo yoyote inayochanjwa baada ya kifaranga kutotolewa ukilenga ushauri ukilenga maelekezo unayowapa Wateja wako wa Icubator Mara baada ya vifaranga kutotolewa kwenye incubator wanatakiwa wapewe chanjo gani?au hakuna cha kupewa chanjo yoyote?.
Nimekupata.Chanjo ipo vifaranga wakitoka kwenye incubator day one wapewe chanjo inatwa Mareks ni muhimu then chanjo zingine zinafwata
Asante kwa ufafanuzi wako ila Mimi bado sijawa mfugaji isipokuwa Nina maono hayo ndiyo maana ninapenda Sana kufuatilia haya mambo,kwa hiyo siyo vibaya Kama utanipa ushauri aina ya kuku wazuri watakao nifaa kwa ufugaji.Habari yako, sijajua unafuga kuku wa aina gani lakini sisi ni wazoefu zaidi ya miaka kumi sasa kwa maana ya kutotolesha na kufuga kuku wa kienyeji, na mwanzoni tulihangaika sana na hiyo chanjo Ya MAREK'S .Lakini baadae bada ya kufanya uchunguzi tukagundua kuwa huo ugonjwa (MAREK'S) ugonjwa ambao ukiufananisha na wa binadamau ni sawa na unaowapata wakina mama(kifafa cha uzazi) ambao kwa kuku ni MAREK'S , kwa kawaida kuku akiumwa MAREK'S hufa ile siku ya kwanza kabisa atakapoanza kutaga(kama atakua ameathirika na huo ugonjwa). na huo ugojwa huwashika kuku wale wa mayai(ambao wako kwa ajili ya mayai tu).
tia nia Fanya jiandae kukabiliana na changamoto maana hiyo unataka kujarbu unan tia mashaka bora uachenataka kujaribu
Kaka nataka kufanya kwa moyo wote coz nina kibarua cha laki2 kwa mwez,Unaingia asubuh kutoka Usiku naona napoteza muda mwingi ambao nikiamua huu muda niupoteze kwenye kufuga naamini utanipatia matokeo mazurtia nia Fanya jiandae kukabiliana na changamoto maana hiyo unataka kujarbu unan tia mashaka bora uache
kama una taka kufanya Fanya
miez kama mitanouse= uwe[emoji115]
Mnaonaje tukitengeneza group la watsaap la wafugaji wa kuku
Kama aliku add tafadhar MPE na namba hii apate kuadd 0714001400Ulifanikiwa kuanzisha hilo group,niadd km group lipo tyr namba yangu 0657666740
Naomba kuunganishwa 0769309245