CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,872
- 9,263
Uko sahihi sana mheshimiwa neggirl,ndio maana tunashauri ni muhimu sana mfugaji akawa anatengeneza chakula mwenyewe kwani atazingatia mahitaji halisi ya formula bila kuzidisha wala kuacha ingriedient yoyote. Kwa upande wa madawa ni muhimu ukawa wasiliana na wataalam wa mifugo kusudi upate dawa bora. Na vifaranga pia ni vyema ukaagiza kutoka kwenye makampuni yanayojulikana na yenye sifa ,vinginevyo utakuwa mwenye kupata hasara siku zote. Uchakachuzi ni mkubwa sana.
Ni kweli mkuu, mimi mwenyewe nina huo Mpango wa kutengeneza mwenyewe, make kwanza ghalama za kununua ni kubwa sana wakati Formula inayo tumika ni Moja tu katika kutengeneza