Ufugaji wa Kuku wa Kisasa: Fahamu Mbinu, Faida, Changamoto na Masoko

Ufugaji wa Kuku wa Kisasa: Fahamu Mbinu, Faida, Changamoto na Masoko

Uko sahihi sana mheshimiwa neggirl,ndio maana tunashauri ni muhimu sana mfugaji akawa anatengeneza chakula mwenyewe kwani atazingatia mahitaji halisi ya formula bila kuzidisha wala kuacha ingriedient yoyote. Kwa upande wa madawa ni muhimu ukawa wasiliana na wataalam wa mifugo kusudi upate dawa bora. Na vifaranga pia ni vyema ukaagiza kutoka kwenye makampuni yanayojulikana na yenye sifa ,vinginevyo utakuwa mwenye kupata hasara siku zote. Uchakachuzi ni mkubwa sana.

Ni kweli mkuu, mimi mwenyewe nina huo Mpango wa kutengeneza mwenyewe, make kwanza ghalama za kununua ni kubwa sana wakati Formula inayo tumika ni Moja tu katika kutengeneza
 
Mtaalamu nimerudi tena, niliweka kwa majaribio hawa kuku wa kienyeji chotara aina mbili

1. Wa Malawi, weusi
2. Cornish brown / kuchi

Sasa nikiangalia wa malawi wanaanza kutaga mapema pia wanataga ata least kila leo, hawa cornish naona wana endelea kukua tu bado hawajaanza kutaga ila wana maumbo makubwa, nimecheck mtandaoni naona wanasema hawa cornish ni wazuri kwa nyama kwani wanakua na maumbo makubwa lakini sio wazuri kwa mayai yaani hawatagi sana na hawa weusi au black australorp wazuri kwa mayai.

Jamani kama kuna mwenye uzoefu na hawa naomba kujuzwa ili ninaponunua vifaranga nijue nitafute soko la nini mayai au nyama.

Asante
 
Kwa wanaohitaji kuku mcahotara kwa ajili ya mbegu,wanapatikana, wako 1600, wana umri wa miezi 5, wote wako rika moja. Kama utawachukua utakaa nao mwezi mmoja tu kisha wataanza kutaga. Utakuwa na uwezo wa kupata mayai mengi, bora na salama ambayo utayatumia kuzalisha vifaranga kwa njia ya mashine. Pia wana uwezo wa kuatamia wenyewe.

Bei yake ni tsh 9000.Kwa anayehitaji anipm.
 
Mtaalamu nimerudi tena, niliweka kwa majaribio hawa kuku wa kienyeji chotara aina mbili

1. Wa Malawi, weusi
2. Cornish brown / kuchi
sasa nikiangalia wa malawi wanaanza kutaga mapema pia wanataga ata least kila leo, hawa cornish naona wana endelea kukua tu bado hawajaanza kutaga ila wana maumbo makubwa, nimecheck mtandaoni naona wanasema hawa cornish ni wazuri kwa nyama kwani wanakua na maumbo makubwa lakini sio wazuri kwa mayai yaani hawatagi sana na hawa weusi au black australorp wazuri kwa mayai.

Jamani kama kuna mwenye uzoefu na hawa naomba kujuzwa ili ninaponunua vifaranga nijue nitafute soko la nini mayai au nyama.

Asante

Kwa kawaida kuku wowote wenye maumbo makubwa si watagaji sana hata ukiagiza kuku wazazi wa kuku wa nyama nao wako hivyo hivyo.Hao kuku wa malawi weusi sio pure wa kienyeji ni machotara,hivyo wamechukua tabia ya utagaji kutoka kwa kuku wa kisasa na pia wamechukua ustahimilivu dhidi ya magonjwa kutoka kwa kuku wa kienyeji.

Cornish brown sina hakika sana kama ndio wanaitwa Kuchi,kwani ninachofahamu mimi ni kuwa Kuchi ni kosaafu ya kuku wa kienyeji ambayo inapatikana mikoa ya kati na maghari ya Tanzania. Ni kosa afu bora sana miongoni mwa kosaafu za kuku wa kienyeji zinazopatikana hapa nchini. Huwa wana warefu na wenye maumbo makubwa.

Kitu ambacho naweza kukushauri kwa hao cornish brown wako ili watege, wapunguzuie chakula wanachopewa kwa siku ili wapunguze mafuta.
 
Kwa kawaida kuku wowote wenye maumbo makubwa si watagaji sana hata ukiagiza kuku wazazi wa kuku wa nyama nao wako hivyo hivyo.Hao kuku wa malawi weusi sio pure wa kienyeji ni machotara,hivyo wamechukua tabia ya utagaji kutoka kwa kuku wa kisasa na pia wamechukua ustahimilivu dhidi ya magonjwa kutoka kwa kuku wa kienyeji.

Cornish brown sina hakika sana kama ndio wanaitwa Kuchi,kwani ninachofahamu mimi ni kuwa Kuchi ni kosaafu ya kuku wa kienyeji ambayo inapatikana mikoa ya kati na maghari ya Tanzania.Ni kosaafu bora sana miongoni mwa kosaafu za kuku wa kienyeji zinazopatikana hapa nchini.Huwa wana warefu na wenye maumbo makubwa.

Kitu ambacho naweza kukushauri kwa hao cornish brown wako ili watege ,wapunguzuie chakula wanachopewa kwa siku ili wapunguze mafuta.

Mkuu sijakuelewa hapo Kuchi ni pure breed ya Kienyeji au ni cross breed ya kienyeji na kisasa?
 
Mkuu sijakuelewa hapo Kuchi ni pure breed ya Kienyeji au ni cross breed ya kienyeji na kisasa?

Kuchi ni pure breed ya kienyeji, inapatikana hapahapa nchini kwetu. Ni kosaafu bora sana kati ya kasaafu za kuku wa kienyeji zinazopatikana hapa nchini.
 
Kuchi ni pure breed ya kienyeji,inapatikana hapahapa nchini kwetu.Ni kosaafu bora sana kati ya kasaafu za kuku wa kienyeji zinazopatikana hapa nchini.

Mkuu hao kuku nitapata Vipi Vifaranga wao? kuna mtu anamjua anaye zalisha vifaranga origino wa Kuchi?
 
Mkuu hao kuku nitapata Vipi Vifaranga wao? kuna mtu anamjua anaye zalisha vifaranga origino wa Kuchi?

Hawa kuku wanapatikana kwa wingi zaidi Singida. Sisi bado hatujaanza kuwazalisha ila tuko kwenye mchakato.
 
Kuchi ni pure breed ya kienyeji,inapatikana hapahapa nchini kwetu.Ni kosaafu bora sana kati ya kasaafu za kuku wa kienyeji zinazopatikana hapa nchini.

Hapo kwenye hilo neno Kosaafu ndo unaponiachaga, okay thanks kwa jibu nimekuelewa walau
 
Kwa kawaida kuku wowote wenye maumbo makubwa si watagaji sana hata ukiagiza kuku wazazi wa kuku wa nyama nao wako hivyo hivyo.Hao kuku wa malawi weusi sio pure wa kienyeji ni machotara, hivyo wamechukua tabia ya utagaji kutoka kwa kuku wa kisasa na pia wamechukua ustahimilivu dhidi ya magonjwa kutoka kwa kuku wa kienyeji.

Cornish brown sina hakika sana kama ndio wanaitwa Kuchi,kwani ninachofahamu mimi ni kuwa Kuchi ni kosaafu ya kuku wa kienyeji ambayo inapatikana mikoa ya kati na maghari ya Tanzania. Ni kosaafu bora sana miongoni mwa kosaafu za kuku wa kienyeji zinazopatikana hapa nchini.Huwa wana warefu na wenye maumbo makubwa.

Kitu ambacho naweza kukushauri kwa hao cornish brown wako ili watege, wapunguzuie chakula wanachopewa kwa siku ili wapunguze mafuta.
Sorry sikuiweka vizuri hawa cornish ni breed ya nje na imekrosiwa na kuchi, na hawa weusi pia ni australorp imekrosiwa na kienyeji ingawa sijui breed gani, wote ni chotara kama usemavyo nimeamua kuwapunguzia ratio ya chakula toka jana nione inakuwaje, nimeisha oda batch ya hawa cornish kwa hivyo ninawaangalia ili nijue wanakuwaje. Nashukuru sana kwa maelezo.
 
Nashukuru kwa mawazo mazuri, naomba kujua mtaji wa kuanzisha ufugaji wa kuku wa nyama 100 na pia hizo mashine za kutotolesha zinauzwaje.
 
Nashukuru kwa mawazo mazuri, naomba kujua mtaji wa kuanzisha ufugaji wa kuku wa nyama 100 na pia hizo mashine za kutotolesha zinauzwaje.
Kuhusu gharama za kufuga kuku 100 wa nyama jaribu kupitia post za nyuma.Kwa gharama za incubator tuwasiliane.
 
Company Profile
Basic Information
[TABLE="class: MsoNormalTable, width: 100"]
[TR]
[TD="width: 30%"] Company Name:
[/TD]
[TD] Wuxi Onelye Livestock Machinery Co., Ltd.
C:\Users\User\AppData\Local\Temp\msohtmlclip1\01\clip_image001.gif

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Business Type:
[/TD]
[TD] Manufacturer, Trading Company
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Product/Service
(We Sell):
[/TD]
[TD] Egg incubator, pellet mill, chicken cage, plucker, slaughter equipment
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Brands:
[/TD]
[TD] ONELYE
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Visit websites: www.onelye.com and Poultry Incubator|Egg Incubators|Chicken Cages Manufacturer
Contact Manager: Feelye Feng
E-mail: feelye@gmail.com
Phone: +8613861883308
CHINA


Chinese
[h=1]Products[/h] · Incubator
· Chicken Cages
· Vet Table
· Feed Unit
· Chicken slaughtering equip..
· Plucker
· Other equipment
[h=1]Enterprise[/h] · Enterprise general survey
[h=1]Contact[/h] · Tel:+852 68184554
· Fax:+86 510 83771826
· Mobile:+86 13861883308
· Contact:Feelye Feng
· Email:info@onelye.com
· onelye@gmail.com
· MSN:china_onelye@hotmail.com

[h=2]Feed unit[/h]
Feed unit
[TABLE="class: MsoNormalTable, width: 88"]
[TR]
[TD]
HK-J35(32)Feed unit
[/TD]
[TD]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
[TABLE="class: MsoNormalTable, width: 90"]
[TR]
[TD="width: 20%"]
HK-J32 Feed unit
[/TD]
[TD="width: 23%"]
output of grains 2-4 t/h
[/TD]
[TD="width: 4%"]
power
[/TD]
[TD="width: 6%"]
120kw
[/TD]
[TD="width: 13%"]
overall dimension
[/TD]
[TD="width: 18%"]
8.5*4.5*8.8m
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
HK-J35 Feed unit
[/TD]
[TD]
output of grains 2-6 t/h
[/TD]
[TD]
power
[/TD]
[TD]
150kw
[/TD]
[TD]
overall dimension
[/TD]
[TD]
9.5*4.5*9.8m
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
HK-J40 Feed unit
[/TD]
[TD]
output of grains 3-8 t/h
[/TD]
[TD]
power
[/TD]
[TD]
200kw
[/TD]
[TD]
overall dimension
[/TD]
[TD]
10.5*7.5*11.8m
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[/TD]
[TD]
C:\Users\User\AppData\Local\Temp\msohtmlclip1\01\clip_image001.jpg

HK-J35(32)Feed unit​
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
HKJ-25B Grain Feedstuff Mill
[/TD]
[TD]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
this machine can produce Pellet 2000-3000T every year.Crushed, collect the material and mix, adjust the quality, make one, small and roundish thing to cool dry, Sift the process of grading to form. The technological process are rational in succession , every unit performance is good, the aircrew structure is compact ,The area of occupation of land little, the energy consumption bottom, it is convenient to operate it and maintain.
production capacity : 1 - 1.5( ton /hour )
Powder material : 2 - 2.5( ton /hour)
Small and roundish thing specification : &-Oslash; (mm)
Power: 57.2KM
The size of appearance: 5.5m×3m×7m​
[/TD]
[TD]
C:\Users\User\AppData\Local\Temp\msohtmlclip1\01\clip_image002.jpg

HKJ-25B Grain Feedstuff Mill​
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
[/TD]
[TD]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
Series SSHJ premixing processing unit
[/TD]
[TD]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
This unit(adopting stainless steel double shaft wheel type mixer)has uniform of mixing and little prmaining and it is equipped with dehumidifying system. Lt is scientific,environment protection,easy for operation,low consumption and high profits.​
[TABLE="class: MsoNormalTable, width: 88"]
[TR]
[TD]
SSHJ-0.5
[/TD]
[TD]
Power:14.1kw
[/TD]
[TD]
Output:≥2.5t/h
[/TD]
[TD]
Dimension:3.5×32×7.52m
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
SSHJ-1
[/TD]
[TD]
Power:22.5kw
[/TD]
[TD]
Output:≥5t/h
[/TD]
[TD]
Dimension:4.5×3.5×8.5m
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
SSHJ-2
[/TD]
[TD]
Power:30.5kw
[/TD]
[TD]
Output:≥8t/h
[/TD]
[TD]
Dimension:5.0×4.5×9.5m
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[/TD]
[TD]
C:\Users\User\AppData\Local\Temp\msohtmlclip1\01\clip_image003.jpg

Series SSHJ premixing processing unit​
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
[/TD]
[TD]
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
ONELYE HK GROUP LI MITED​
 
Ninatafuta vitabu au majarida yanayoelezea vizuri namna bora ya ufugaji wa kuku wa kienyeji. Je, nitafute kitabu gani kizuri?
 
Mkuu nataka kujenga Mabanda kwa tofali, Ila juu nafunika vizuri na turubai kwamuda lakini baadae nikpata pesa naweka Bati, Vipi ni sawa mkuu?
 
Mkuu nataka kujenga Mabanda kwa tofali, Ila juu nafunika vizuri na turubai kwamuda lakini baadae nikpata pesa naweka Bati, Vipi ni sawa mkuu?
Ni sawa inawezekana ila ni muhimu kuzingata kuwa paa liwe juu ili kuzuia joto kwani turubai hutoa joto kali sana.
 
Napenda kufahamu bei za incubator kuanzia ya mayai 100
mpaka 500.
Ndugu wana jamii forum,ifike wakati tuache kulalamika, tujitume kwa bidii kufanya kazi kwani kazi ndio msingi wa maisha yetu.Vijana graduates kutoka vyuo mbalimbali tuwaze zaidi kwenye kujiajiri kuliko kuajiriwa,kuajiriwa ni utumwa pia ni hasara kama utapiga vizuri hesabu zako.Kwa wastaafu pia wana fursa ya kutumia mafao yao vyema kwenye miradi ya ufugaji.

Kwa kuanzia tu naruhusu kuulizwa maswali kutoka kwa wale wote wanaojihusisha na ufugaji wa kuku, kama kuna jambo lolote linasumbua na kutaka kupata ufafanuzi .Pia kwa wanaohitaji kuanzisha mradi wa ufugaji wa kuku,utotoreshaji wa vifaranga,biashara ya uchanganyaji na uuzaji wa vyakula vya kuku nk ,kama watanzania tunaweza kusaidiana ili hatimae tuondokane na umasikini.Kila mtu awe msaada kwa watu wengine kwa fani aliyesomea.

Karibuni kwa mjadala.
 
Back
Top Bottom