0909Hekima
JF-Expert Member
- Feb 23, 2013
- 226
- 65
Thanks kaka nitakutumia
Kaka kichwa mbovu, itakuwa njema kama nami ntaipatahiyo PDF maana nahitaji sana elimu ya ufugaji kaka! Will be thankful for your help, thanks in advance.
Email: naku PM kaka.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Thanks kaka nitakutumia
Mkuu Mada zimekaa sawa!!
Kama alivyosema Kunta Kinte, ni kweli mada zimekaa vizuri. Lakini najiuliza mbona washiriki wamekuwa wachache, yaani watatu tu!? Kwa mawazo yangu na kwa taaluma yangu, nashauri wana JF tunaotaka kuingia kwenye kazi hii ya ufugaji wa kuku, tusiiachie fursa hii adhimu na adimu kutoka kwa Kichwa Mbovu. Tuitumie vilivyo, tuache kuziangalia hizo 30,000/= na kuziona ni nyingi sana! Hapana tujitoe, tupate elimu hii na tuitumie kujikwamua kutoka kwenye umasikini.
Kwa wale mnaopitia nyuzi za KUBOTA na wana JF wengine walioingia katika ufugaji wa kuku, mtakubaliana nami kuwa hii ni shughuli inayoweza kututoa kwenye umasikini au ufukara wa kipato na kuwa matajiri. Hii ni kwa sababu wala kuku na mayai, yaani soko la uhakika lipo. Tumtumieni Kichwa Mbovu jamani ili tutoke! Kichwa Mbovu usikate tamaa ila panga siku nyingine ili tuone reaction itakavyokuwa ili tuje tupate hii elimu muhimu kwa sisi wenyewe na kwa Taifa letu.
Kuhusu hizo mada, ongeza na ile ya kuchanganya au kutengeza vyakula vya kuku wa aina zote. Ile feed formula uliyosema. Jamani wana JF tuchangamkie ofa hii kutoka kwa KICHWA MBOVU. Asanteni sana.

Mkuu kichwa Mbovu, nina swali kuhusu kusafisha mayai kabla ya kuyaweka kwenye Incubator, Vipi kama mayai yamechafuka yanatakiwa yasafishwe kwa kutumia nini?
Mkuu asante sana kwa majibu, na vipi humidity kawaida inayo takiwa ni % ngapi? Na nini madhara endapo humidity inakuwa above sana au below sana
Chasha,
Laita ungepata mwongozo wangu ungekusaidia sana kwani maswali mengi unayouliza yametolewa ufafanuzi kwa undani kabisa.Ila kwa kifupi,unyevunyevu hupimwa katika asilimia.Kadri joto linapozidi,unyevunyevu nao unazidi.Hivyo,joto linapoongezekaka na unyevunyevu nao unaongezeka.
Kama unyevunyevu utakuwa mdogo kwenye incubator kutokana na joto kuwa ndogo,mayai yatakauka.Iwapo unyevunyevu utazidi zaidi,utasababisha mayai kuwa na maji mengi kwa ndani,matokeo yake ni kwamba vifaranga vitamezwa na maji na kusababisha vifo vya vifaranga ndani ya mayai.
Ili kurekebisha unyevunyevu, joto ni lazima lisetiwe katika kiwango sahihi. Joto lina matokeo makubwa kwenye upandaji au ushukaji wa unyevunjevu.
Unyevunyevu pia husaidia mapafu ya vifaranga kuweza kuanza kufanya kazi kwa kuwa hewa safi huingia kupitia kwenye ganda kavu la yai hadi kwenye nafasi ya hewa kwa urahisi.Joto linalotakiwa kwenye incubator ili mayai yaweze kutotolewa ni nyuzi joto 37.6.
Mkuu asante kwa majibu yako, Ila mkuu Humidity kuwa juu inasababishwa vile vile na hari ya hewa, Mfano kwa sasa hari ya hewa kwa sehemu nyingi ni unyeu nyevu so ni lazima hata Humidity ndani ya Mashine iwe juu, na kuna uhusiano kati ya Unyevy wa nje na wa ndani, na mkuu nazani naweza ku punguza kiwango cha Humidity kwenye incubator kwa kupunguza kiwango cha maji yaliyoko ndani ya Incubator,
Ok mkuu kichwa asante lwa majibu
Mkuu kuna Mather mmoja ni Jirani ndo anayo ile ndogo JN8-48 na ndo nilikuwa najaribu kuchukua utalaamu ila nimeweza kufanikiwa kwa ushauri wako na nazani kila kitu kinaenda Ok ingawa kuna changamoto nyingi sana, Ila nimependa sana Incubators ambazo ni automatic kwa sababu ukiwa na uhakika na umeme unaweza hata ukawa unaenda zako kufanya shughuri zingine bila tatizo kabisa,
Kwa mimi nataraji kuanza mwezi Ujao kwa sababu kuna Mashine nilimeipata na ilisha nifikia, ambayo ni Made in Denmark, ni mashine moja nzuri sana, but nitaanza na wale kuku nilio waahidi watu humu kuku wa Israele pamoja na mbegu fulani ya kienyeji mpya kutoka kenya kwa sbabau Kituo husika waliniambia wanaweza waka wa wananitumia mayai na mimi nitapokelea Arusha kwa Mabasi from Nairobi,
Ila nikifanikiwa hao wa Israeli na hiyo Mbegu mpya nitawapa taarifa kamili,make ndo niko kwenye process

Freshi mkuu, Kichwa, Tatizo la Watanzania ni kwamba wao hawtaki kuwekeza kwenye Utafiti zaidi na kuja na Product zinazo weza kushindana, Tuko bise kunagalia Faida tu na wala si kuangali feature itakuwa vipi
mkuu kichwa nilitaka kujua kazi ya Mchanga katika Chakula cha kuku, make kuna sehemu nilicheki mchanga nao unawekwa sasa sijajua ni kwa nini,