Ufugaji wa Kuku wa Kisasa: Fahamu Mbinu, Faida, Changamoto na Masoko

Mkuu Mada zimekaa sawa!!

Kama alivyosema Kunta Kinte, ni kweli mada zimekaa vizuri. Lakini najiuliza mbona washiriki wamekuwa wachache, yaani watatu tu!? Kwa mawazo yangu na kwa taaluma yangu, nashauri wana JF tunaotaka kuingia kwenye kazi hii ya ufugaji wa kuku, tusiiachie fursa hii adhimu na adimu kutoka kwa Kichwa Mbovu. Tuitumie vilivyo, tuache kuziangalia hizo 30,000/= na kuziona ni nyingi sana! Hapana tujitoe, tupate elimu hii na tuitumie kujikwamua kutoka kwenye umasikini.

Kwa wale mnaopitia nyuzi za KUBOTA na wana JF wengine walioingia katika ufugaji wa kuku, mtakubaliana nami kuwa hii ni shughuli inayoweza kututoa kwenye umasikini au ufukara wa kipato na kuwa matajiri. Hii ni kwa sababu wala kuku na mayai, yaani soko la uhakika lipo. Tumtumieni Kichwa Mbovu jamani ili tutoke! Kichwa Mbovu usikate tamaa ila panga siku nyingine ili tuone reaction itakavyokuwa ili tuje tupate hii elimu muhimu kwa sisi wenyewe na kwa Taifa letu.

Kuhusu hizo mada, ongeza na ile ya kuchanganya au kutengeza vyakula vya kuku wa aina zote. Ile feed formula uliyosema. Jamani wana JF tuchangamkie ofa hii kutoka kwa KICHWA MBOVU. Asanteni sana.
 
Mkuu sina la kusema zaid ya asante!!
 
Wanajamvi,

Kuna watu wamehamasika katika ufugaji wa kuku wa nyama na hasa broilers.Wengi wa wafugaji wanashindwa kuwatofautisha kati ya vijogoo na broilers matokeo yake wafanyabiashara, mawakala wa makampuni yanayozalisha vifaranga wanatumia mwanya huo kuwauzia wafugaji vijogoo badala ya broilers.

Wafanyabiashara wao wanachoangalia ni faida tu kwani bei ya broilers iko juu kuliko ya vijogoo.Mfugaji ukichukua vijogoo ni dhahiri hutatimiza malengo yako kwa kuwa vijogoo huchua muda mrefu(kati ya miezi mitatu na nusu hadi minne) kufikia uzito wa kumpeleka sokoni.

Ukiwatazama vijogoo rangi yao ni nyeupe kama ile ya broilers,hivyo ni rahisi kughilibiwa.Tayari nimeshapata malalamiko mengi tu kwa wafugaji tena unakuta mtu kajitoa na kuwekeza katika mradi mtaji wa kuku 2000 kwa kuanzia kisha unakuja kutanabahi kuku uliouziwa sio broilers kama ulivyoambiwa utafanyaje?Hapo tayari wamekuingiza kwenye mipango iliyo nje ya malengo yako.

Mara nyingi wafanyabiashara wengi wa kitanzania sio waaminifu,ni watu wa kupenda njia za mikato ili wafanikiwe kuliko kujenga mahusiano mazuri na wateja ili siku nyingine warudi kwao.Hali hii iko hata kwa wafanyabiashara wanaotoa huduma kwa bidhaa nyingine,ndio maana nchi imeshamiri bidhaa feki.Kwa hali hiyo mfugaji unatakiwa uwe na akili kichwani wakati wa kununua hawa vifaranga.

Nashauri kwamba ni muhimu kwa mfugaji ambaye anahitaji kufuga kuku wengi hasa hawa aina ya broilers let say kuanzia na kuku 500 ni bora akaenda moja kwa moja kwenye kampuni husika mfano kwa broilers Euro poultry(Amadori).Ukifika pale utahudumiwa tu vizuri.

Kuuziwa kuku feki inaumiza sana hasa kama pesa uliyotumia ulikuwa umeikopa na ukaplani kuanza kuirejesha mara baada ya miezi mitatu ya mwanzo kwa maana tayari bechi ya kwanza utakuwa umekwisha iuza.

Uzuri wa Euro poultry wao huzalisha aina moja tu ya viranga ambao ni broilers hivyo sio rahisi kukubadirishia au kuku changanyia na vijogoo tofauti na makampuni mengine ambayo huzalisha vifaranga wa aina zote wa nyama(broilers) na wa mayai ambapo ndipo tupowapata vijogoo.Vijogoo ni kaka wa kuku wa mayai.
 
Kama alivyosema Kunta Kinte, ni kweli mada zimekaa vizuri. Lakini najiuliza mbona washiriki wamekuwa wachache, yaani watatu tu!? Kwa mawazo yangu na kwa taaluma yangu, nashauri wana JF tunaotaka kuingia kwenye kazi hii ya ufugaji wa kuku, tusiiachie fursa hii adhimu na adimu kutoka kwa Kichwa Mbovu. Tuitumie vilivyo, tuache kuziangalia hizo 30,000/= na kuziona ni nyingi sana! Hapana tujitoe, tupate elimu hii na tuitumie kujikwamua kutoka kwenye umasikini.

Kwa wale mnaopitia nyuzi za KUBOTA na wana JF wengine walioingia katika ufugaji wa kuku, mtakubaliana nami kuwa hii ni shughuli inayoweza kututoa kwenye umasikini au ufukara wa kipato na kuwa matajiri. Hii ni kwa sababu wala kuku na mayai, yaani soko la uhakika lipo. Tumtumieni Kichwa Mbovu jamani ili tutoke! Kichwa Mbovu usikate tamaa ila panga siku nyingine ili tuone reaction itakavyokuwa ili tuje tupate hii elimu muhimu kwa sisi wenyewe na kwa Taifa letu.

Kuhusu hizo mada, ongeza na ile ya kuchanganya au kutengeza vyakula vya kuku wa aina zote. Ile feed formula uliyosema. Jamani wana JF tuchangamkie ofa hii kutoka kwa KICHWA MBOVU. Asanteni sana.

Mzee Mukaruka,

Nakushukuru sana kwa ushauri wako,ila hiyo mada yako uliyoipendekeza itaingia kwenye mada namba 2,itaelezwa vizuri tu.Vinginevyo nikushukuru kwa kuhamasisha watu waweze kuhudhuria mafunzo ya ufugaji wa kuku pale tutakapotangaziana tena.
 
Mkuu kichwa Mbovu, nina swali kuhusu kusafisha mayai kabla ya kuyaweka kwenye Incubator, Vipi kama mayai yamechafuka yanatakiwa yasafishwe kwa kutumia nini?
 
kwa ufupi ndugu Chasha, kama mayai yamechafuka hayatakiwi kusafishwa kwa kutumia maji baridi ila unatakiwa kuchonga vijiti mfano wa kisu cha kawaida halafu unayaparua yale mayai yaliyo chafuka bila kusababisha nyufa au uvunjifu wa mayai yenyewe.

Pia unaweza kutumia maji ya moto kusafisha mayai yaliyochafuka muda mfupi kabla ya kuyaingiza kwenye mashine,kwani maji ya moto huzuia bacteria kuharibu kiini cha yai lenyewe, lakini joto la maji hayo linapaswa kuwa chini ya lile joto la kutotolea vifaranga ambalo ni nyuzi joto 36.7, mathalani nyuzi joto 20-25 linafaa, hivyo utatumia kitambaa kwa kukichovya kwenye maji hayo ya moto na kufuta yale mayai yaliyochafuka.
 
Mkuu asante sana kwa majibu, na vipi humidity kawaida inayo takiwa ni % ngapi? Na nini madhara endapo humidity inakuwa above sana au below sana
 
Chasha,

Laita ungepata mwongozo wangu ungekusaidia sana kwani maswali mengi unayouliza yametolewa ufafanuzi kwa undani kabisa.Ila kwa kifupi,unyevunyevu hupimwa katika asilimia. Kadri joto linapozidi, unyevunyevu nao unazidi. Hivyo, joto linapoongezekaka na unyevunyevu nao unaongezeka.

Kama unyevunyevu utakuwa mdogo kwenye incubator kutokana na joto kuwa ndogo,mayai yatakauka.Iwapo unyevunyevu utazidi zaidi,utasababisha mayai kuwa na maji mengi kwa ndani,matokeo yake ni kwamba vifaranga vitamezwa na maji na kusababisha vifo vya vifaranga ndani ya mayai.

Ili kurekebisha unyevunyevu, joto ni lazima lisetiwe katika kiwango sahihi.Joto lina matokeo makubwa kwenye upandaji au ushukaji wa unyevunjevu.

Unyevunyevu pia husaidia mapafu ya vifaranga kuweza kuanza kufanya kazi kwa kuwa hewa safi huingia kupitia kwenye ganda kavu la yai hadi kwenye nafasi ya hewa kwa urahisi. Joto linalotakiwa kwenye incubator ili mayai yaweze kutotolewa ni nyuzi joto 37.6.
 
Chasha,

Laita ungepata mwongozo wangu ungekusaidia sana kwani maswali mengi unayouliza yametolewa ufafanuzi kwa undani kabisa.Ila kwa kifupi,unyevunyevu hupimwa katika asilimia.Kadri joto linapozidi,unyevunyevu nao unazidi.Hivyo,joto linapoongezekaka na unyevunyevu nao unaongezeka.

Kama unyevunyevu utakuwa mdogo kwenye incubator kutokana na joto kuwa ndogo,mayai yatakauka.Iwapo unyevunyevu utazidi zaidi,utasababisha mayai kuwa na maji mengi kwa ndani,matokeo yake ni kwamba vifaranga vitamezwa na maji na kusababisha vifo vya vifaranga ndani ya mayai.

Ili kurekebisha unyevunyevu, joto ni lazima lisetiwe katika kiwango sahihi. Joto lina matokeo makubwa kwenye upandaji au ushukaji wa unyevunjevu.

Unyevunyevu pia husaidia mapafu ya vifaranga kuweza kuanza kufanya kazi kwa kuwa hewa safi huingia kupitia kwenye ganda kavu la yai hadi kwenye nafasi ya hewa kwa urahisi.Joto linalotakiwa kwenye incubator ili mayai yaweze kutotolewa ni nyuzi joto 37.6.

Mkuu asante kwa majibu yako, Ila mkuu Humidity kuwa juu inasababishwa vile vile na hari ya hewa, Mfano kwa sasa hari ya hewa kwa sehemu nyingi ni unyeu nyevu so ni lazima hata Humidity ndani ya Mashine iwe juu, na kuna uhusiano kati ya Unyevu wa nje na wa ndani, na mkuu nazani naweza ku punguza kiwango cha Humidity kwenye incubator kwa kupunguza kiwango cha maji yaliyoko ndani ya Incubator.

Ok mkuu kichwa asante lwa majibu
 
Mkuu asante kwa majibu yako, Ila mkuu Humidity kuwa juu inasababishwa vile vile na hari ya hewa, Mfano kwa sasa hari ya hewa kwa sehemu nyingi ni unyeu nyevu so ni lazima hata Humidity ndani ya Mashine iwe juu, na kuna uhusiano kati ya Unyevy wa nje na wa ndani, na mkuu nazani naweza ku punguza kiwango cha Humidity kwenye incubator kwa kupunguza kiwango cha maji yaliyoko ndani ya Incubator,

Ok mkuu kichwa asante lwa majibu

Shukrani Chasha, hivi unaangulisha vifaranga nini mkuu au you are just seeking for knowledge?
 
Mkuu kuna Mather mmoja ni Jirani ndo anayo ile ndogo JN8-48 na ndo nilikuwa najaribu kuchukua utalaamu ila nimeweza kufanikiwa kwa ushauri wako na nazani kila kitu kinaenda Ok ingawa kuna changamoto nyingi sana, Ila nimependa sana Incubators ambazo ni automatic kwa sababu ukiwa na uhakika na umeme unaweza hata ukawa unaenda zako kufanya shughuri zingine bila tatizo kabisa,

Kwa mimi nataraji kuanza mwezi Ujao kwa sababu kuna Mashine nilimeipata na ilisha nifikia, ambayo ni Made in Denmark, ni mashine moja nzuri sana, but nitaanza na wale kuku nilio waahidi watu humu kuku wa Israele pamoja na mbegu fulani ya kienyeji mpya kutoka kenya kwa sbabau Kituo husika waliniambia wanaweza waka wa wananitumia mayai na mimi nitapokelea Arusha kwa Mabasi from Nairobi,

Ila nikifanikiwa hao wa Israeli na hiyo Mbegu mpya nitawapa taarifa kamili,make ndo niko kwenye process
 
Usisite kutupa updates mkuu tunaisubiria hiyo mbegu kwa hamu
 
Vizuri sana mkuu, hongera kwa kupata machine kutoka denmark. Ni machine za uhakika sio kama hizi zinazotengenezwa na wajasiriamali wetu hapaTanzania.
 
Freshi mkuu, Kichwa, Tatizo la Watanzania ni kwamba wao hawtaki kuwekeza kwenye Utafiti zaidi na kuja na Product zinazo weza kushindana, Tuko bise kunagalia Faida tu na wala si kuangali feature itakuwa vipi
 
Jambo JamiiForums,

Ningependa kutumia fursa hii kuwashukuru wote ambao wamekuwa wakinipigia na kuhitaji ushauri wangu. Nanawahaidi kuwatumikia kwa nguvu zangu zote kuhakikisha kuwa kila mtu anafikia malengo yake. Natumai kila anayenipigia namjibu kwa mujibu wa maswali yake.

Ninapokuwa kimya mara nyingi huwa majukumu yanakuwa yananibana,ila kama kunakuwa na lolote la kufahamishana basi mtu anaweza kunipigia na kuongea kwa kirefu.
 
Freshi mkuu, Kichwa, Tatizo la Watanzania ni kwamba wao hawtaki kuwekeza kwenye Utafiti zaidi na kuja na Product zinazo weza kushindana, Tuko bise kunagalia Faida tu na wala si kuangali feature itakuwa vipi

Mkuu utafiti ni gharama sana,ndio maana watu wanaamua kupita njia za mikato, kitu ambacho kinawaumiza sana watu. Nadhani serikali ingesapoti jitihada hizi za wajasiriamali wetu ili hatimae nchi yetu iweze kunufaika na pesa za kigeni pale bidhaa zitakapopelekwa kuuzwa nje ya nchi.
 
Mkuu kichwa nilitaka kujua kazi ya Mchanga katika Chakula cha kuku, make kuna sehemu nilicheki mchanga nao unawekwa sasa sijajua ni kwa nini.
 
mkuu kichwa nilitaka kujua kazi ya Mchanga katika Chakula cha kuku, make kuna sehemu nilicheki mchanga nao unawekwa sasa sijajua ni kwa nini,

Nakumbuka O level tulisoma Mchanga unasaidi digestion kwa kuku sidhani kama nakumbuka vizuri ni decades nyingi zimepita sasa ngoja Kichwa Bovu aje
 
Back
Top Bottom