Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wananyinyoka wenyewe au wana donoana?Mbona kuku wangu wa kisasa wananyonyoka manyoya mgongoni
Ni kawaida kwa kuku wa kisasa hasa wa mayai kunyonyoka manyoya na mara nyingi hali hii hutokea baada ya kuku kutimiza umri wa mwaka mmoja.Mbona kuku wangu wa kisasa wananyonyoka manyoya mgongoni
Ni kawaida kwa kuku wa kisasa hasa wa mayai kunyonyoka manyoya na mara nyingi hali hii hutokea baada ya kuku kutimiza umri wa mwaka mmoja.
Unyonyokaji wa manyoya kitaalamu huitwa moulting.Moulting inapotokea kuku hupunguza utagaji na huendelea tena na utagaji mara manyoya yatakapoota tena.
Nimekupm mkubwa.Kaka naomba nipm nataka ile hardcopy.
Ni 0767989713Naweza kupata mawasiliano yako mm napenda kufuga kuku wa kienyeji
Sisi kwa sasa tuko morogoro,but tuko movable,kokote tutakakohitajika kwa ajili ya kuendesha mafunzo. Sisi ada zetu ni tsh 250000/=kwa siku kwa kila watu 25 waliojukusanya pamoja na kuhitaji mafunzo ya kujua mbinu na namna ya ufugaji bora wenye tija kwa mfugaji.mkuu kwa nn hamjawa wazi sana kutueleza location na contacs zenu au seminars mnazofanya?
Ni mwezi wa saba tar 30.2013Kaka mi naomba pia mawasiliano yako, nahitaji kuanza huu mradi ndani ya mwezi huu wa nane.
Asante sana.
Ni mwezi wa saba tar 30.2013
Vifaranga wa kuku wa nyama kwa sasa ni tsh 1500,kuhusu gharama za chakula kwa kuku 3000,nipigie nitakujulisha.mdau, vifaranga wa kuku wa nyama kwa sasa ni bei gani?, tunaweza kujua pia gharama za vyakula kwa batch ya kuku 300/kwa wiki?