Aman Ng'oma
JF-Expert Member
- Nov 8, 2011
- 961
- 533
Mh Kingdom,Mimi nafuga kuku wa mayai mkoani , kwa sasa tumefikisha elfu moja. Maono ni kupanua kufikia kuku elfu 5 hadi 10. Naweza pata msaada wa feasibility study/ business plan kwa kiwango hiki. Ukinitumia contacts nitafafanua zaidi.
Asante kwa kufuatilia mada zangu na hongera kwa kujihusisha na ufugaji wa kuku,hatua uliyofikia ni kubwa sana.Kuku elfu moja wa mayai kama umewatunza vyema tosha kabisa kabisa kukupa faida kubwa na kukuwezsha kujikwamua kiuchumi.
Hiyo kazi yako ya kufanya feasibility study pamoja na Business Plan ziko ndani ya uwezo wetu,wengi tumewfanyia na zimewasaidia sana. Binafsi Shahada yangu ya kwanza nimechukua Bsc.Agricultural economics and Agribusiness,mambo hayo ya kufanya Feasibility study, business plan pamoja na pamoja na project write up,ni miongoni mwa mambo niliyosomea na kuyafanyia kazi kwa undani sana.
Namba zangu nimekutumia,tuwasiliane kwa msaada zaidi.

