kawombe
JF-Expert Member
- Mar 26, 2015
- 14,239
- 15,876
Ngoja leo niwa wekee Super chegre ya Galla msuuzike kwa Roho ameingia last week toka Arusha.
Namsubiria kumuona
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja leo niwa wekee Super chegre ya Galla msuuzike kwa Roho ameingia last week toka Arusha.
Galla huyu kanunuliwa sh laki5
nipo dar mzee natamani kuja kuona na kujifunza kwakoNipo Dar ndugu wanapatikana bila shida wewe upo mkoa gani?
upande wa chanjo za msingi ikojeUzi wako umekaa vyema sana nakupongeza sana kwa hatua uliyo ifikia, nakushauri tu unapochukuwa Mbuzi mnadani uwapatie huduma za afya kwanza kabla ya kuwachanganya na hao wengine hasa unapokuwa na Mbuzi wachanga.
usiwe mbali na kijana wa kazi hasa hichi kipindi ambacho wana zaa, pili usiruhusu hao watoto kwenda machungani na mama zao mpaka wamalize wiki 4.
Mama anae nyonyesha mpatie pumba na mchanganyiko wa mashudu ya alizeti au pamba, chumvi,chokaa na kuwawekea jiwe la kulamba maana lina madini ya kutosha, na uwapatie dawa za minyoo kwa muda muafaka.
Kwakweli swala la chanjo nilakushirikisha Vet maana unaweza ukafanya chanjo kumbe hujafanya kwa wakati muafaka au ukawa umetoa dozi ndogo au umetumia chanjo isiyo stahiki nisinge penda kutoa ushauri usio wakitaalamu isije kuleta madhara kwenye zizi lako.upande wa chanjo za msingi ikoje
Galla ana njia kuu za kumtambua. 1, uso wake sio mrefu kama Mbuzi wa kawaida.Sorry mdau hv utamjuaje kua huyu ni GALLA? Liko vzr sana!! Sema bei imechangamka sio poa
Galla ana njia kuu za kumtambua. 1, uso wake sio mrefu kama Mbuzi wa kawaida.
2,sehemu zake za siri chini ya mkia ni nyeusi.
3,sehemu za mdomo wake lips ni nyeusi.
4,Ngozi yake juu ikiwa nyeupe chini ya manyoya atakuwa mweusi.
5,Dume la Galla/Isiolo huwa ni kati ya madume yenye nguvu sana ya kupanda bila kuchoka.
6, Chini ya shingo yake baada ya kidevu kuna nyama inashuka hapo kama baadhi ya picha zilivyojionyesha nilizo zituma.
7,Miili yao mikubwa naimejaa nyama sana.
Nafikiri hapo umenielewa ndugu karibu sana tujifunze pamoja.
Kwakweli wapo ila mimi bado sijabahatika kuwa nao ila kuna mahala nime agizia ni nunuwe mama pamoja na watoto wake woteAsante kiongozi!! Mpaka hapo nimekuelewa!! Vp jike lake GALLA linaweza kuzaa watoto mapacha?
Ndugu karibu sana hili ni zawadi yetu sote kwa Mungu njoo chemba tupeane mawasiliano, niko all weekend karibu sana.Nipo Dar ndugu wanapatikana bila shida wewe upo mkoa gani
nipo dar mzee natamani kuja kuona na kujifunza kwako
Niseme kitu kimoja jamani tuliopo kwenye ajira tuanze sasa kutayarisha mashamba yetu kwa anae weza mifugo na kilimo na aliyepo na nafasi ayaendeleze pale alipo fikia kuna maisha ya baadae yanayo tuhitaji hasa sisi waajiriwa baada ya ajira.
Hongera sana, Mungu aibariki kazi ya mikono yako.