Ufugaji wa mbwa na chakula chake

Ufugaji wa mbwa na chakula chake

Kama nilivyotanguliza naomba kupewa experience ya ufugaji wa mbwa, Katika nyanja za malisho, kinga na tiba, Je ili awe mbwa mkali na mlinzi shupavu apate malezi gani au viatilifu gani.
 
Habari za majukumu wanajamvi,

Mbwa wangu wamekua na changamoto ya kupoteza afya ikiambatana kunyonyoka manyoya na kupoteza uwezo wa kuona kufikia hatua hadi anajigonga sehem kwa kutoona.

Kuna baadhi ya watu wamenambia hawa mbwa aina ya GS ukiwalisha dagaa hio ndio athari yake. Swali langu je kuna ukweli ndani yake na je suluhisho la kurejesha afya yake ni lipi?
Du watalaam kujeni
 
Back
Top Bottom