Anigrain
JF-Expert Member
- Nov 15, 2020
- 1,680
- 4,204
Vizuri Mkuu kwa hatua ulizochukua, vipi maendeleo yake hadi hivi sasaTayar anaendelea kuhudumiwa na daktari wa mifugo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vizuri Mkuu kwa hatua ulizochukua, vipi maendeleo yake hadi hivi sasaTayar anaendelea kuhudumiwa na daktari wa mifugo
Du watalaam kujeniHabari za majukumu wanajamvi,
Mbwa wangu wamekua na changamoto ya kupoteza afya ikiambatana kunyonyoka manyoya na kupoteza uwezo wa kuona kufikia hatua hadi anajigonga sehem kwa kutoona.
Kuna baadhi ya watu wamenambia hawa mbwa aina ya GS ukiwalisha dagaa hio ndio athari yake. Swali langu je kuna ukweli ndani yake na je suluhisho la kurejesha afya yake ni lipi?
wanatumia jina gani hawa jamaa?Shida yote ya nini ingia Instagram kuna jamaa wanatengeneza chakula cha mbwa watakupa bei. Waaongezee na vitaminsi watakuwa poa tu.
Alikua vzuri sana na afya nzuriComment #12 haina majibu ya nilichokiuliza,anyway acha niishie hapa.