Henge
JF-Expert Member
- May 14, 2009
- 6,933
- 1,511
MAZIWAaNaomba ufafanuzi hapo kwenye red:hivi kuna nguruwe wa nyama na ...............................
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MAZIWAaNaomba ufafanuzi hapo kwenye red:hivi kuna nguruwe wa nyama na ...............................
wadau nataka nianze ufugaji wa nguruwe wa nyama dsm...sijui chochote kuhusu hawa jamaa ila wanalipa ile mbaya.....give me tips,plz.
kama kuku una nguruwe nyama na mayai(kuzaa),Hivi kuna nguruwe wa Maziwa na Ngozi?
sio kwamba utakuwa umeelewa ila unauliza makusudi? Ila nafikiri anamaanisha afuge kwa ajili ya biashara.Mkuu swali lako tata..... ukiulizwa nguruwe wanalipa?? nikijibu wanalipa nini ntakua nimekosea?
wadau nataka nianze ufugaji wa nguruwe wa nyama dsm...sijui chochote kuhusu hawa jamaa ila wanalipa ile mbaya.....give me tips,plz.
Hakuna kitu haramu bwanafuga tu nguruwe wanalipa vibaya mno profit magin yake ni kubwa nguruwe mmoja anaanzia bei laki 5 mpaka laki 7 wakiwa mia una 70milioni utakua tajir japo ni haramu na mara nyingi vitu haramu vinalipa
Ninakusanya taarifa zitakazo nisaidia kufuga nguruwe ki biashara zaidi. Natamani nijue mambo yafuatayo:
1. Ni breed ipi inazaliana kwa kasi zaidi
2. Ni mchanganyiko upi wa chakula unafaa kwa kukuza haraka nguruwe
3. Nguruwe mdogo/wa kati na mkubwa huwa wanakula wastani wa kilo ngapi kwa siku
4. Upi ni muda mzuri wa kulisha nguruwe
Mwenye taarifa hizi muhimu naomba animwagie data.