Ufugaji wa Nguruwe: Fahamu faida, hasara na mbinu bora za ufugaji

m PM Khatan au Faiza wanafuga kwa mafanikio sana hii kitu
 

Mkuu, huna haja ya kuhangaika. Ufugaji wa Nguruwe ni moja ya Miradi iliyokwisha dadavuliwa kwa kina na Wataalamu na wasio Wataalamu hapa hapa jamvini siku za nyuma. Wewe tafuta Uzi wa Ufugaji wa Nguruwe na utapata nondo za uhakika, ushuhuda wa waliofanya wakanufaika na hata maoni ya wanafiki wanaokula hii kitu roho inapenda gizani huku mchana wanaiita "kharamu"! All the best!
 
Poa nawasoma ntatafuta hui uzi,
Pia nashukuru kwa maelekezo.
 
MalafyaleP kaka tunataka kuja kununua kwako sasa tunakupataje namba zangu za simu ni 0754524905....plz rply through inbox o through that number
 
Last edited by a moderator:

Kaka vipi ulifanikiwa na jee umefikia wapi na kama ulikwama sababu za kukukwamisha zilikuwa nini?.
 
WE JAMAA NI choko, NILIKUTUMIA PM KUWA TUBADILISHENE MAWAZO KUHUSU HUU MRADI KWAKUWA MI MWENYEWE NATAKA KUANZA KUFUGA LAKINI HUJANIJIBU MPAKA LEO, NA NI WIKI IMEPITA. MA$ABURI YAKO

Kha!!?😨😨😨....Hili jamaa ni pumbavu sana nyau mkubwa kwani msaada ni lazima?....mazafanta@#%+#
 
Naomba kujua kama inawezekana kumpandisha nguruwe / artificial insemination kama vile wanafanya kwenye ngombe???? Mwenye kujua hii nahitaji msaada wako
 
Mtu unaweka tangazo alafu unaingia mitini una maana gani
 
Mkuranga nisafe kufugia nguruwe? Kuna mtu aliniambia nisithubutu...nikaogopaje
 
Umekombia? Ungeweka na picha maana mahitaji yapo lkn hutoi ushirikiano...
 
Jamani ckuwa hewani kwa muda bt kifupi ni kwamba tuko kisenvule karibu na kiwanda cha rhino cement wilaya ya mkuranga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…