Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
uko wapi mkuu? ni pm email yako tafadhari
Mwanga data hapa tunufaike wote mkuu
Habarini zenu wana jamvi la biashara/ujasiriamali..
Naombeni kujua vitu vifuatavyo;-
-Bei ya vitoto vya nguruwe
-Namna ya kuwafuga
-Ulishaji wao,ni vyakula vipi
-Madawa yao(matibabu)
-Mabanda yaweje
-Na kuwapandisha ili wazaane.
-Akikua vizuri anakuwa na kilo ngapi..na anauzwaje?
-Kuna mbegu tofauti tofauti?
Asanteni Wanajamvi.:thumbup:
Wana jamvi,katika pita pita zangu mitaani,na kwenye mitandao ya kijamii nimegundua njia pekee itakayonipa ajira ni kujikita katika ufugaji wa Nguruwe kitaalam na kibiashara zaidi ikizingatiwa ndo kwanza nimehitimu elimu yangu ya Chuo kikuu..Nna shamba la ukubwa wa ekari 5 huko kijijini kwetu,maji yapo ya kutosha.Swali ni je shilingi milioni kumi (10,000,000) zinatosha kuanza kufuga nguruwe wangapi tangu wakiwa watoto hadi umri wa kuwauza? Naomba mnisaidie wadau
WE JAMAA NI choko, NILIKUTUMIA PM KUWA TUBADILISHENE MAWAZO KUHUSU HUU MRADI KWAKUWA MI MWENYEWE NATAKA KUANZA KUFUGA LAKINI HUJANIJIBU MPAKA LEO, NA NI WIKI IMEPITA. MA$ABURI YAKO
Jamani ckuwa hewani kwa muda bt kifupi ni kwamba tuko kisenvule karibu na kiwanda cha rhino cement wilaya ya mkuranga