Ufugaji wa Nguruwe: Fahamu faida, hasara na mbinu bora za ufugaji

ujiandae pia kwenye bajeti ya chakula, maana ukikosea tu kwenye lishe wanadumaa! ukitaka materials za bei nzuri kwenye ujenzi wa banda lako nenda pale Nyuma ya business Park Ubungo, jirani na kiwanda cha UFI utapata mbao pamoja na bati kwa bei nzuri.

ukifanya research sana ,hutafuga,wewe anza tu ,na vichwa japo 5 tu,utaona matokeo yake,tatizo ni moja tu kwa hapa DAR,Security.jiandae kuweka ulinzi mzuri,kwani kuna watu ,wamekuwa professional wezi wa kitimoto.
 

Fika pale tegeta kuna mama mfanyabiashara maarufu anashamba kubwa la nguruwe na ni muuzaji mkubwa kwenye mabucha mbalimbali jijini. Ulizia kwa DC Mama Fatuma Joseph kimario utapelekwa, ni maarufu sana maeneo hayo hata mtoto mdogo atakuelekeza.
 
mkuu tembelea vyuo vya kilimo na ufugaji. wao wanamaelezo ya kutosha.
 
Yep - nenda SUA utapata majibu ya maswali yako yote: Pia kumbuka swala la SECURITY usije ukawafugia watu.
 
Hiyo ni biashara nzuri sana. ningekuwa na namba ya fatuma kimaro ningekupatia maana inaonekana wana mbegu nzuri sana ya nguruwe.
the same to me.. ila nenda igunga.. mama wa watu atakusaidia.. ucjal.. ila zingatia na uwe makini kuongelea ufugaji wako tu.. mambo mengine achana nayo, Jua akina Mwi-gulu wameshajimilikisha wake za watu huko.. na wasomali pia wako huko na wana vya moto.. uwe makini..
 
Tafuta sehemu Ifakara-Kilombero ufugie huko.Chakula cha nguruwe kinapatikana rahisi sana,yaani punba za mpunga..mahindi na n.k.Sehemu zinauzwa rahisi na unaweza kufunga nguruwe zaidi ya 200.Mimi ninaona kwa sasa 150 na nimeishapata mnunuzi wa nguruwe wote.
 
ukifanya research sana ,hutafuga,wewe anza tu ,na vichwa japo 5 tu,utaona matokeo yake,tatizo ni moja tu kwa hapa DAR,Security.jiandae kuweka ulinzi mzuri,kwani kuna watu ,wamekuwa professional wezi wa kitimoto.
Siyo kila wakati nguruwe huibiwa, ni baadhi ya vipindi tena sana kile kipindi cha mfungo maana vyakula laini hutajika sana.
 
Mkuu hii nimeikubali
 
Mkuu je huko kitimoto wanapatikana kwa bei gani kwa kuanza kuwafuga na utamuuza mmoja kwa kiasi gani? Na je vipi kuhusu ujenzi na gharama za ufugaji kwa ujumla?
 
Mkuu "BREED ZIPI NYINGINE NZURI ZINAZOFUGWA? Hasa maeneo ya MBULU?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…