Asante sana ndugu yetu kwa kutupatia maarifa hayo.Hakiyamungu ubarikiwe mno ndugu
Hivi wewe na kaunga ndo hanuamini uwepo wa Mungu? Vp katika imani yako, nguruwe ni kitoweo?Nguruwe hata umuweke wapi minyoo haitomuondoka hatta siku moja. Huyu mnyama anakula mavi yake mwenyewe Vipi utaweza kumuepusha na minyoo kwa kutumia hizo drinkers?
Naamini 100 kwa 100 Mungu yupo na Kwa imani yangu nguruwe ni Najisi .Hivi wewe na kaunga ndo hanuamini uwepo wa Mungu? Vp katika imani yako, nguruwe ni kitoweo?
Ebu tuambie wapi huko nguruwe Mtoto 20000View attachment 324772
- Nguruwe watoto 20 @ 20000 = 400000
- Banda la mabanzi=1,000,000
- Chakula = 1,000,000
- Dawa= 200000
After 1yr: Nguruwe 20 watazaa vitoto kama 160,utachakuwa vitoto jike 100,
mama zao wote watauzwa, huku shambani kwetu nguruwe
mkubwa ni Tsh 200,000 tu, utapata 4,000,000.
After 2yrs: Nguruwe 100 wanaweza kuzaa 700. Kati ya 700 chagua majike 500,(unaweza kuuza watoto dume ukanunua jike).
Year 3: Nguruwe 500 watazaa watoto 3500, chagua watoto 1500 tu
Kutoka hapo unamentein Number 1500, kila mwaka unaweza kuuza
watoto zaidi ya 3000, na nguruwe wakubwa 1500.
1500*200000= Tsh 300,000,000/= kwa mwaka
Nusu ya hiyo pesa ni gharama zingine, unabaki na 150mil.
Welcome to the club
Kabla hujajitumbukiza kaone mifano, au nenda sokoine ukaonane na wataalamu.
Kila mwaka nalima Mahindi, alizeti, maboga ekari 30 kwa ajili ya chakula cha nguruwe tu.
Nakupenda saana mpwa..
==========
USHUHUDA
======================================================
Kuna jamaa ambaye haamini, basi nimechanganya. Aksante mkuuNaamini 100 kwa 100 Mungu yupo na Kwa imani yangu nguruwe ni Najisi .
Una swali lingine?
Acha unafiki.ni mnyama gani hana minyoo.hata wewe unayo mingi tuu. Na kama hupendi nguruwe sababu ana minyoo au anakula ovyo, mbona kuku anakula kila kitu,bata jee, na samaki af wote unawala haoNguruwe hata umuweke wapi minyoo haitomuondoka hatta siku moja. Huyu mnyama anakula mavi yake mwenyewe Vipi utaweza kumuepusha na minyoo kwa kutumia hizo drinkers?
Bata wala kuku hawali mavi yao wenyewe. We endelea kula tu hio nyamafu siku ukiugua saratani ya tumbo ndio akili itakusogea.Acha unafiki.ni mnyama gani hana minyoo.hata wewe unayo mingi tuu. Na kama hupendi nguruwe sababu ana minyoo au anakula ovyo, mbona kuku anakula kila kitu,bata jee, na samaki af wote unawala hao
MAJINI yakisikia nguruwe yanakosa amani sanaNaamini 100 kwa 100 Mungu yupo na Kwa imani yangu nguruwe ni Najisi .
Una swali lingine?
Kweli kabisa. Ndio maana kila siku tunasikia yanatolewa kila siku ktk hayo majumba ya kwaya kwa kelele nyingi mno.MAJINI yakisikia nguruwe yanakosa amani sana
Changamka Mapema Mwanza Nguruwe Soko Lao Liko Nje Nje Ukiwafuga Kwa Wingi Ndio Utaiona Faida Ya Ufugaji ... !Tangu 2009wazazi wang wamekua wakifuga nguruwe kwa mazoea, tupo (mahina) mwanza.
Now nimeludi nyumbani (mwanza) nataka nifanye revolution ya ufugaji nyumbani kwetu.
Kuna nguruwe majike 8 wanalishwa pumba za mchele two times a day.
Wengine manyoya yao yamesimama matumbo yameshuka.
Tu endelee kupeana updates za nguruwe