Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mbona watu wanasema kua banda za tofali n nyepesi kuharibika sababu nguruwe akiwa anajkuna anakmblia ukutan na anatumia nguvu nying sn sa akiendlea kila siku kufanya ivo ule ukuta anaumalza na unaanza kua na matundumupanga ukijengea tofali utafanya mabanda yako kuwa ya kudumu zaidi tofauti na ukijengea mabanzi
naomba ka elimu kiduchu kuhusu izo drinker plzMkuu, tuwasiliane ujipatie drinkers zako mapema. Namba ni 0625 504 952
~piglets ni watoto wa nguruwe,
~weaners ni nguruwe walioachishwa kunyonya (after 8 weeks of age), ~Growers ni nguruwe wanaokuwa (4months of age),
~Finishers ni nguruwe walofikia umri wa kutolewa/kuchinjwa ( 7-9months of age). ~Sow ni nguruwe jike ambae ameshazaa na
~boar ni nguruwe dume ambaye hajahasiwa.
myasis;
Naomba nitofautiane na wewe pamoja na mleta hoja kidogo.
"weaners" huachishwa ziwa siku ya 28 tangu kuzaliwa. Unamweka jike kwa dume siku ya 3 tangu kumwachisha/kumnyang'anya watoto. Kuendelea muda mrefu kunyonyesha ni hasara kwani uzao unapungua kwa mwaka.
2. Mchanganyo wa chakula:
Kama ni nguruwe wa kuuza mbali, chakula kipungue pumba ya mahindi. Hua pumba ya mahindi inaongeza mafuta ya ndani ambayo huwa hatari kwa nguruwe kuchoka haraka na kufa ghafla kwenye safari. Mchanganyiko huwa hivi:
Pumba ya mchele (Rice polish) 40
Pumba ya mahindi (Maize meal) 30
Pollard/ Wheat feed 15
Sun flower cake/dagaa 15
Chumvi 1
Pigmix 1 pamoja na lycine .25 (robo kilo)
Chokaa/mifupa 2 (Hakuna haja ya kuweka vyote viwili kwani kazi yake ni moja)
Dagaa huwekwa kwenye chakula cha watoto tu. Ukiweka kwenye chakula cha wakubwa, akichinjwa nyama hunuka samaki.
Lycne huifanya nyama kuwa angavu na mafuta kukaa mahali pake. Hii ni kwa mfanyi biashara wa nyama hii.
Ushauri huu umetokana na experience ya zaidi ya 20 yrs ya ufugaji na sijawahi kukosa nguru 20 kwenye boma hata siku moja.
mkuu mangatara shukrani sana. Nguruwe wako wakati wa kuuza huwa wana kilo ngapi?
ukichanganya pumba ya mahindi na mpunga bado si kitu kile kile au tofauti yake ni nini?
naomba ka elimu kiduchu kuhusu izo drinker plz
hao wakubwa kwli,,,Swali inakuaje nguruwe wadumae au wanachukua miezi mingi mpaka kukua?tatizo linakua ni ninisoko la nguruwe linalipa sana. me najivunia sana kuwa mfugaji. chakula ni chamuhimu sana.
awali sikuzingatia chakula lkn baada ya kuanza kuzingatia aisee hii midude inazaa.
nilianza na nguruwe 4 lkn hadi sasa nina 48 na wengine kama 200 niliuza
![]()
Majuzi nilimtembelea.mfugaji.mmoja nikamkuta anawapa nguruwe wake mavi ya kuku na wanakula vizuri tu. Hakuweza kunipa ushauri wa kitaalamu....lakini.
Yeye anadai.kuna siki kwa bahati mbaya alisahau.mlango wazo na nguruwe wakatoka na kukuta rundo la mavi ya kuku na kuanza kula. Toka siku hiyo akawa anawapa kamachakula!
Huyo ni mwehu.... Nguruwe wanakula chochote sasa kwa sabab alikuta wanakula hiyo kitu ndo akadhani kinawafaa? Ukimkuta tena mnase vibaoMajuzi nilimtembelea.mfugaji.mmoja nikamkuta anawapa nguruwe wake mavi ya kuku na wanakula vizuri tu. Hakuweza kunipa ushauri wa kitaalamu....lakini.
Yeye anadai.kuna siku kwa bahati mbaya alisahau mlango wazi na nguruwe wakatoka na kukuta rundo la mavi ya kuku na kuanza kula. Toka siku hiyo akawa anawapa kamachakula!
Huyo ni mwehu.... Nguruwe wanakula chochote sasa kwa sabab alikuta wanakula hiyo kitu ndo akadhani kinawafaa? Ukimkuta tena mnase vibao
soko la nguruwe linalipa sana. me najivunia sana kuwa mfugaji. chakula ni chamuhimu sana.
awali sikuzingatia chakula lkn baada ya kuanza kuzingatia aisee hii midude inazaa.
nilianza na nguruwe 4 lkn hadi sasa nina 48 na wengine kama 200 niliuza
![]()
safi sanaa! hii ni fursa ya kuachana na ajiraHiyo kilo 80 toa kichwa kg kama 8 na utumbo na figisu nyingine kama mafuta mkia na miguu kg 12 unabaki na kg kama 60 za nyama utapata kama 402,000